Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Mbona humtaji Cheyo "aliyejimilikisha" UDP yake??

Wala humtaji Mrema anayeiendesha TLP kama Chama chake binafsi??

Wewe kada wa Lumumba umemuona Mbowe tuu??
Hao nimewataja kwa mfano lakini ni viongozi wote wa upinzani ni wa maisha!
 
Kwa akili yako msajili anayo jeuri ya kumtumbua mwenyekiti wa Lumumba hata kama amekosea,mlengwa hapo ni Mbowe,baada ya kugoma manunuzi.
muswada huo unalenga pia kuviimarisha zaidi vyama vya siasa...

Sasa upinzani mnacho lalamika ni kitu gani sasa... Kama mswada wenyewe ukipita unaenda kuimarisha vyama vya siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wakifa kifo cha KAWAIDA nitaamini CCM wana Mungu, akianza na Ndugai Job, Bunge La Ndugai ni Dhaifu na Uozo
 
Ni kijiwe cha kutafuna kodi zetu,kuliita bunge ni kulikosea heshima maana ya neno bunge.
Bunge DHAIFU Bunge UOZO ambalo sasa limeamua kuwa kitengo cha dikteta na dhalimu aliye Ikulu ili kuendeleza maovu ya kila aina nchini ikiwemo dhuluma, udhalimu, wizi na ufisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua huyu ni bomu kubwa sana lakini haya ya kuminya uhuru na haki za vyama vya upinzani na Watanzania ikiwemo dhuluma na mauaji sikuliona kabisa.

Kibaya zaidi wastaafu wote wamekaa kimya kabisa wakati huyo muuaji akiendelea kuisambaratisha nchi.
Zamu yao yaja japo wanajiona wako Salama, aliyezoea kunyonga kuchinja hawezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa mwakilishi wa TLS wakili msomi Jebra Kambole aliyehojiwa na ITV amesema sasa vyama vinavyoishi bila kufanya uchaguzi wa viongozi wake na wale viongozi wa maisha siku zao zinahesabika kwani sasa msajili wa vyama vya siasa amepewa rungu na sheria mpya.

My take
Chadema na Mbowe jiandaeni kisaikolojia
Maendeleo hayana vyama!
Kwanini hujamsema wenteviti akina Lyatonga Mrema na Dovutwa? Mbowe amekufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida yao Mbowe ang'ooke....

Zitto ang'ooke...

Lowassa na Sumaye warudi Ccm..

Then we remain eating their filthy stinky politics for years..

Yote haya inabidi yatimie mwaka huu before 2020.
Upinzani unazuia unaibua upigaji, wizi na ufisadi wa fisadi konki masta,dhaifu na wenzake hivyo lzm waufute,kodi zetu si Salama sana kuliko kipindi chote,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi wakiwa nje ya mfumo ndio uelewa,kama ambavo lowasa, sumaye,nk wanavyotamani katiba mpya na tume huru kuliko MTU yeyote, walipokuwa kwenye system walipooambiwa waliona hayawahusu hali walikuwa na nafasi ya kufanya hivo.Apandae miba njiani IPO siku itamchoma.Hata dikteta Mugabe hakutegemea kuna siku angesapoti upinzani
CCM mtaukumbuka huu Mswada wa Vyama vya Siasa!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni janga! Watu wako wanafanya ahughuli za maendeleo wao wamataka wakaandamane humo humo kuzuia watu. Ifutwe kabisa hii chadema uchwara. Na hii sheria mpya ya vyama vya siasa kama chama ni uchwara kama chademq naona kikifa slow death!
CHADEMA ni watu. Hata ukifuta taasisi bado huwezi kuwafuta watu. Labda Jiwe afanye genocide ndipo CHADEMA itafutika.
CHADEMA itadumu. Hakuna wa kuifuta. Na Jiwe atashuhudia CHADEMA wanaongoza serikali kabla hajafa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa mwakilishi wa TLS wakili msomi Jebra Kambole aliyehojiwa na ITV amesema sasa vyama vinavyoishi bila kufanya uchaguzi wa viongozi wake na wale viongozi wa maisha siku zao zinahesabika kwani sasa msajili wa vyama vya siasa amepewa rungu na sheria mpya.

My take
Chadema na Mbowe jiandaeni kisaikolojia
Maendeleo hayana vyama!

Hapa Mbowe asipojipiga vidole sijuwi.....Chadrama bora ife tu tunataka upinzani wa ukweli si huu wa kina Lissu, Mbowe na zuzu Zitto.
 
Chadema ni janga! Watu wako wanafanya ahughuli za maendeleo wao wamataka wakaandamane humo humo kuzuia watu. Ifutwe kabisa hii chadema uchwara. Na hii sheria mpya ya vyama vya siasa kama chama ni uchwara kama chademq naona kikifa slow death!
Chiluba alitumia sheria alizozikuta dhidi ya Kaunda .
Kumbuka Nyerere alienda kumuombea atoke jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ajili ya yule bundi wa bungeni au?....... Chadema haina ubavu wa kuvuruga amani!
Mdharau mwiba mguu huota _________. Usijidanganye. Sote tunawajibika kuzingatia misingi ya amani. Usije ukafikiri walioondoa utulivu kwenye nchi zao na kupelekea mauaji makubwa walikuwa ni wakubwa sana kiasi cha kutisha. Walikuwa ni vikundi vidogo tu ambavyo ilikuwa rahisi kuvidharau. Lakini walipoanza vurugu zao, waliongezeka nguvu kadiri siku zilivyokuwa zinasonga mbele. Tusijidanganye kwa kudharauliana. Sote tunawajibika kuzingatia misingi ya amani.
 
Hapa Mbowe asipojipiga vidole sijuwi.....Chadrama bora ife tu tunataka upinzani wa ukweli si huu wa kina Lissu, Mbowe na zuzu Zitto.
Mkifanikiwa kuua upinzani wa nje, itakuwa ndio mwanzo wa kuwa na upinzani wa ndani ambao ni mbaya zaidi kuliko wa nje. Kumbukeni, you are united now because you have common enemies out there.
 
Chiluba alitumia sheria alizozikuta dhidi ya Kaunda .
Kumbuka Nyerere alienda kumuombea atoke jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sikio la kufa huwa halisikii dawa. Nawaombea watunge sheria nyingi sana tena sana ambazo ni kandamizi kwa wapinzani wao. Siku ya kuanguka ikifika miti yote huteleza. Na hapo ndipo sheria walizotunga wenyewe zitakapoanza kutumika kuwadhibiti.
 
Mdharau mwiba mguu huota _________. Usijidanganye. Sote tunawajibika kuzingatia misingi ya amani. Usije ukafikiri walioondoa utulivu kwenye nchi zao na kupelekea mauaji makubwa walikuwa ni wakubwa sana kiasi cha kutisha. Walikuwa ni vikundi vidogo tu ambavyo ilikuwa rahisi kuvidharau. Lakini walipoanza vurugu zao, waliongezeka nguvu kadiri siku zilivyokuwa zinasonga mbele. Tusijidanganye kwa kudharauliana. Sote tunawajibika kuzingatia misingi ya amani.
Tunakusubiri
 
Back
Top Bottom