Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Kwa mujibu wa mwakilishi wa TLS wakili msomi Jebra Kambole aliyehojiwa na ITV amesema sasa vyama vinavyoishi bila kufanya uchaguzi wa viongozi wake na wale viongozi wa maisha siku zao zinahesabika kwani sasa msajili wa vyama vya siasa amepewa rungu na sheria mpya.

My take
Chadema na Mbowe jiandaeni kisaikolojia
Maendeleo hayana vyama!
Hvyoo kabisa....mbona humgusi Cheyo na Mrema?
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2020 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
Umeandika kwa uchungu sana aisee,god bless your soul,lets hope that the downfall of the green demon comes faster than expected

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu anapataje uongozi mkuu wa kudumu wa Chama?
Hii wa kudumu inawauma sana, kama sera zao zinasema hivyo, mnataka serabzao zifanane na ccm, hayo ni mambo yao ya ndani hayawezi kamwe fanana na mambo ya hao wengine, ni kama wewe umkaze mkeo ni utaratibu wa nyumba yako umejiwekea ambao nyumba nyingine hawawezi jua,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Watanzania tuwe makini sana na mtu huyu. Haitakuwa na maana yeyote kusema tungejua while it's already too late. Wakati ndiyo sasa, mwenye masikio na asikie!
 
CCM inadhani upinzani ni vyama vya siasa, hawaelewi nini maana ya upinzani, Sheria hii hata kama ikipingwa mahakamani kuu, bado itasikilizwa na Mashauli aliyeteuliwa hivi karibuni kuwa jaji, na ikumbukwe jaji Mashauli ana vina saba na awamu ya tano.
 
Huwezi kufanana na samaki ukawa na akili,ccm wote akili zao ziko kwenye masaburi yao
tapatalk_1544202903906.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana bundi alitumwa bungeni ili hii sheria isipite..!!
 
Kwani ikitokea wana CHADEMA wakamchagua tena kwa ridhaa yao msajili atafanyaje?
 
Katibu mkuu wa CCM alishasema mswada huu haupaswi kuondolewa hata nukta
Spika ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM , kazi iliyokuwepo ni kuhakikisha unapita. Limetokea

Hadithi za kukuza demokrasia ni za kitoto sana. Hivi kweli kuna mtu anaamini CCM na haya ya ununuzi, CCM na marufuku ya mikutano ya siasa hata Bunge, CCM na hizi kamata kamata ina nia ya demokrasia kweli!!

Mwalimu Nyerere anabaki kuwa kiongozi mwenye maono sana hata kwa wanaotofautiana naye

Mwalimu alisema,Rais wa Romania alidhani wanaompinga ni wachache, mwisho wakawa wengi na kumuondoa

Rais Mwinyi wakati wa white paper alisema ' Wengi wapewe, wachache wasikilizwe'
Usikivu wa hoja za wachache ndio uliozaa mafumo wa vyama vingi na kutupa utulivu wa miaka zaidi ya 25

Mswada huu wna taasisi na makundi ya kijamii. Kudhani kuwa ''Ndiyoo' ya wabunge wa CCM ni kitu muhimu ni kutoiangalia historia. Wabunge wa CCM wameupa mswada uhalali wa kuhalilisha kinachopingwa

Kuna mtu anaitwa Nalaila Kiula, alikuwa Mbunge wa CCM. Wakawepo akina EL na Sumaye achilia mbali akina Kingunge na Laurence. Orodha ni ndefu,inatosha kusema anayeonekana vyema ni Nape Nnauye

Huyu bwana alikuwa katibu mwenezi akihangaikia chama na hata kuvunja mifupa.

Akiwa Mbunge alipewa uwaziri alioutumia kuleta sheria nyingi na marufuku zisizo za kisheria kama Bunge live
Nape akaaminisha umma lengo ni kuokoa gharama za uendeshaji na kukuza 'demokrasia''

Upigaji debe wake haukusikiliza sauti za wachache kwasababu alikuwa karibu na keki.

Ilichukua asubuhi moja tu akapoteza nafasi yake na mchana wa siku hiyo akakutana ana kwa ana na 'bastola' ikisotwa kwake

Leo ni mmoja wa watu 'wasio na thamani ndani ya chama' licha ya utiifu wake uliopitiliza na kuwa mahaba

Hawa CCM walioko ndani ya Bunge wanachofanya ni kulinda kuteuliwa ili wawe Wabunge tena
Wanaamini bila kufanya hivyo hawatapa 'msaada' wa kisiasa

Wasichokumbuka ni kuwa sheria ikiwa kitabuni inalala, siku ikifika sheria hiyo inaamka na hasira kali

Hii ni Tanzania yetu sote, kuna vizazi vijavyo ! Swali, tunajenga nchi ya namna gani na kwa ajili ya nani?

Hawa wabunge wa CCM wanajua utata wa mswada kwa masilahi yao ya muda mfupi na madhara ya muda mrefu . Nimekumbuka ule msemo '' you can't eat your cake, and have it too''

JokaKuu Pascal Mayalla Mlenge
 
Chadema ni janga! Watu wako wanafanya ahughuli za maendeleo wao wamataka wakaandamane humo humo kuzuia watu. Ifutwe kabisa hii chadema uchwara. Na hii sheria mpya ya vyama vya siasa kama chama ni uchwara kama chademq naona kikifa slow death!
Amani inayojengwa kwenye misingi ya ulaghai, haitadumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa mwakilishi wa TLS wakili msomi Jebra Kambole aliyehojiwa na ITV amesema sasa vyama vinavyoishi bila kufanya uchaguzi wa viongozi wake na wale viongozi wa maisha siku zao zinahesabika kwani sasa msajili wa vyama vya siasa amepewa rungu na sheria mpya.

CHADEMA na Mbowe jiandaeni kisaikolojia
Maendeleo hayana vyama!

hadi ccm itawakuta mnafanyanga bila kunyoshewa vidole
 
Hapa Mbowe asipojipiga vidole sijuwi.....Chadrama bora ife tu tunataka upinzani wa ukweli si huu wa kina Lissu, Mbowe na zuzu Zitto.
Tunataka upinzani ambao hautampa pressure Jiwe ,tunataka upinzani ambao daima utakuwa ukisifia jiwe tunarudi Zaire ya Mobutu kuanzisha vyama vya upinzani ili ionekane nchi yake ina vyama vya upinzani kumbe hewa. Hawa waliopo ni wapinzani wa kweli sasa tunataka wa kinafiki kwenye jumuia za kimataifa tuonekane tuna vyama kumbe vyote ni CCM B
Hii ni njia rahisi ya kuua upinzani lakini madhara yake yatakuwa makubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunataka upinzani ambao hautampa pressure Jiwe ,tunataka upinzani ambao daima utakuwa ukisifia jiwe tunarudi Zaire ya Mobutu kuanzisha vyama vya upinzani ili ionekane nchi yake ina vyama vya upinzani kumbe hewa. Hawa waliopo ni wapinzani wa kweli sasa tunataka wa kinafiki kwenye jumuia za kimataifa tuonekane tuna vyama kumbe vyote ni CCM B
Hii ni njia rahisi ya kuua upinzani lakini madhara yake yatakuwa makubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapinzani wa kweli wako wapi?
 
Back
Top Bottom