GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hawa Jamaa wametoa hela wapi ya kurusha matangazo live kwenye channels kibao?
Tumebanwa Mbavu Ktk Kodi Mkuu.........We Acha Tu Yaaaaani!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Jamaa wametoa hela wapi ya kurusha matangazo live kwenye channels kibao?
Yani mwenyewe nahamu ya kupiga kura kwa Mara ya kwanza wakianza tu kuandikisha nitawahi faster nahamu sana ya kupiga kura.
Sio hivi tu Mkuu,dola imemshinda na uchumi wake daraja la kwanza.Suala la mishahara hewa mbona limemshinda???
Mzee Lowasa kachemka kweli. Alikuwa anaongea mambo ya kukariri. Akina Apson walimsaidia sana vinginevyo wangemuacha aropoke hakika angeharibu zaidisana tu. sio yule mzee wa jana..
Namsikia anaongea vzur sana, lakin najiuliza, anaenda kutekeleza ilani ya kwake mwnyewe au ya CCM???
...kama ni ya CCM basi ndo yaleyale hamna kitu.
Mwigulu aache mipasho,aseme atafanya nini, ameniboa
Wezi wanatangaza nia. Tuangalie nani ataleta hoja zenye mashiko.
Hunizidi mimi nina hamu balaa.Ila nisivyopenda kukaa kwenye foleni mbona nitakoma?
Ila itabidi nijidai mimi gamba maana kuna mjumbe wetu ni gamba alisema magamba yatapewa kipaumbele....nilishaandika hadi jina.
Ahsante Nifah! Si unaikumbuka siku ile ulivyonitembelea ukalala na ukaondoka kesho yake mchana?
nadhani washauri wake wamechemka kwa hili, amefail?Ila jamaa high table yake sijaelewa! !? Mke , mume na watoto kwisha duuuuh!