Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Namsikia anaongea vzur sana, lakin najiuliza, anaenda kutekeleza ilani ya kwake mwnyewe au ya CCM???
...kama ni ya CCM basi ndo yaleyale hamna kitu.
 
Yani mwenyewe nahamu ya kupiga kura kwa Mara ya kwanza wakianza tu kuandikisha nitawahi faster nahamu sana ya kupiga kura.

Hunizidi mimi nina hamu balaa.Ila nisivyopenda kukaa kwenye foleni mbona nitakoma?
Ila itabidi nijidai mimi gamba maana kuna mjumbe wetu ni gamba alisema magamba yatapewa kipaumbele....nilishaandika hadi jina.
 
Kama ameyasema hayo (unayosema anawaponda ccm), Mimi nasema hajawaponda maana hicho anachosema ndo ukweli na kusema kinyume na hayo ni kusema uongo
 
Nimeona mwigulu amekuja na watoto wake kesho tutegemee makongoro nyerere atakua na mamake pamoja na watoto wake.Watanzania lazima tusifie hlo tena.Hata mama mkwe lazima atakuepo
 
Huyu naeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
yupo kwenye mfumo alafu analia tena au yale anayoongeaga bungeni yanakuwa sio yakwake
 
Hunizidi mimi nina hamu balaa.Ila nisivyopenda kukaa kwenye foleni mbona nitakoma?
Ila itabidi nijidai mimi gamba maana kuna mjumbe wetu ni gamba alisema magamba yatapewa kipaumbele....nilishaandika hadi jina.

Hahahahahaha
 
Hv mgombea wa ccm anavyoongelea vitu kama atahakikisha maji yanakuwepo, tuwaeleweje, wamefanya nn kama chama tawala kuleta maji na mpk tusubiri achaguliwe kuwa rais
 
Back
Top Bottom