Kibo255
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 4,408
- 3,941
Lowasa hana tofauti kabisa na Kikwete,JK alikuwa na timu nzuri sana(Rostam,Makamba,Sita,Salva,Lowasa,Kinana) .Lowasa team yake ndio itakayomwangusha (Tibaijuka,Karamagi,Mahanga,Mlaki,Kapuya,Msabaha,Chenge,Bashe) hawa karibia wote wana scandal za ufisadi
Mkuu Kwa hii timu ni unafiki Wa siasa tutakuta watangazania nao wanajiunga na hii timu