Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Nikiandika mkuu nitajulikana mimi ni nani humu jf ,kama Samira au Sh....na wanapita huku ,sitaki kuchambwa na matarumbeta mtu mzima na uwalaza wanguWeka japo juu juu mkuu. Haijajulikana bado kwanini maana huko kwa mganga wameenda alhamisi sijui ijumaa sasa sielewi ni nini walikerana mpaka kuumbuana hivyo