Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Mh mtoto yupi huyo sasa aliyezaa na yule mama mweupe au yule aliyekufa
Nakumbuka Dada Wa Taifa ashawahi kugusia chanzo cha Yule Binti Kufariki,Aliweka Chini ya Carpet,alisema binti alijiua na sio malaria kama ilivyotangazwa,chanzo cha kujiua kuna mambo alikuwa anafanyiwa ambayo DADA WA TAIFA HAJAWEKA WAZI au kama aliweka Nishasahau maana kitambo.
 
Back
Top Bottom