King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
- #141
Aiseee ni Msanii Gani Huyo Tena,Khaaaaaa!!!!!!Kuna aliyembikiri mtoto wake ili nyota yake ing’ae na iling’aa kweli Afrika nzima lakini sasa inaanza kufifia. Ninadhani alikiuka masharti ya mganga amefanya vurugu nyingi mpaka kupora wake za watu.