Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Mbona leo alikua Iringa tena kaongea mbovu sana juu ya Lowassa kasema Lowassa ni MAREHEMU hawezi kwenda Ikilu  siasa zimefika mbali jamani duu.

nafikiri anatakiwa ajifunze kwa kombani(RIP MAMA)
 
Yani aache kwenda kupiga magot jiMboni kwake ataona cha Moto
Kama a nategemea bao la mkono atajibebaa..,,,,,,
 
hawa jamaa wajinga sana.yaani kajikita kumponda tuu lowasa anafkiri atatubadilisha.tushachukua maamuzi tayari asubri kunyongwa tuu

CCM kweli inajifia kama alikuwa mwizi mbona waliendelea kumpa wizara mbalimbali
 
Nimesikiliza kupitia radio nimeona jamaa wanatumia muda mwingi kwa kwa kutukana na kutoa tuhuma ambazo hazina mashiko wala ushahidi.
Ila jamaa kwa matusi tu hawajambo!
 
Nape ni mpumbavu tena juha la kwanza duniani. Wakati alikuw akiiba si mliomwona? Kwa nini hamkumuchukulia hatua za kisheria kama wezi wengine badala yake mkazidi kumbadilishia sekta hadi kumpa uwaziri mkuu?

Mkiambiwa ccm na serikali yake ni majizi mnakataa nini wakati mmekuwa mkipandisha vyeo na kuwafana wakku wa serikalini huku mkijua ni majizi?

NAPe ANALITHIBITISHIA TAIFA KWAMBA CCM HAINA UWEZO WALA MORAL AUTHORITY YA KUONGOZA NCHI KWA SABABU TAYARI IMESHASHINDWA KUSIMAMIA MASLAHI YA TAIFA.

AMEKIRI KWAMBA IMEKUWA IKITENGENEZA NA KUWAFUGA WEZI, NA BADALA YA KUWACHUKULIA HATUA WANABADILISHIWA VYEO NA KUPANDISHWA HADI UWAIZIRI MKUU.

HALFU MWISHO KUANZA KULALAMIKA KWA WANANCHI ETI ALIKUWA MWIZI AS IF NCHI HAINA SHERIA NA MAHAKAMA HAZIPO. WHAT A SHAME!!!!!!!!

NAPE NI MPUMBAVU NAMBARI ONE. NO WONDER LINAKWENDA KUANGUKA KWENYE UCHAGUZI.

BILA HAYA ETI LOWASAKIBOKO YAKE MIMI. WHO ARE YOU NGUCHIRO MKUBWA? UNGELIKUWA KIBOKO YAKE KWA NINI HUKUMPELEKA MAHAKAMANI ILI AHUKUMIWE NA HAKI YA WATANZANIA IPATIKANE?

PUMBAVU SANA HILI JAMAA.

Yaani hili li Nape lilitakiwa livalishwe dera maana hakuna mwanaume wa type hii ya kise.....nge hivi jibwa lile
 
ASILIMIA 99 CCM

Dr. John Magufuli leo amewahidi na kuwataka wananchi wa iringa kuwa atatekeleza ahadi zake na hivyo kuwataka wamchague.Magufuli amesema safari hii ushindi utakuwawa sunami kwa asilimia 99!
 
WATAISOMA NAMBA:

Mgombea urais kupitia CCM Dr John Magufuli amewataka wanainch wa iringa leo wamchague kwa kura nyingi ifikapo tar 25/10 ili wale wapinzani wake waisome namba,magufuli amesema kuwa umati mkubwa uliokuja kumsikiliza unamuelewa na safari hii wataisoma namba kisawa sawa!!
 
Eti yeye ndio kiboko ya Lowassa, this is completely rubbish. Mimi nilidhani atasamima kueleza atatufanyia nini wananchi, hivi huyu nae anagombea ubunge? Atafaa kweli kuwa kiongozi? Mbona hana busara? Kiongozi gani kinywa kimejaa matusi hivi? Mbona hekima hana? Hivi ndio aina ya viongozi tunaohitaji kweli leo? Viongozi gani wasio na hofu ya Mungu? Hivi huwa wanasali kweli hawa? wanaamini Mungu yupo kweli?. Hivi mtu utatumia one hour kwenye media kutukana tu? Kwanini usiongee la maana? Mimi kama mtanzania nimekerwa sana. Kiburi namna hiyo chatoka wapi? Mungu ni mjinga kumpa pumzi aendelee kutukana ovyo namna hiyo? Mungu kampa nguvu ya kutukana watu ovyo tu?. Ni maombi yangu na dua, Mungu mwenyewe amshushe chini mpaka hicho kiburi kiishe, Mungu huinua juu na Mungu hushusha chini pia, Mungu na amdhibitishie kwamba yeye yuko juu ya kila mtu ikiwapo yeye. Sijawai kuona mtu mwenye kiburi namna hii. This is too much.
 
Hbr wana Jf? Katibu wa Mbwembwe wa Magamba habar zake hatuzipat au hali tete Jimbon Mtama? Tujuzane wadau

Mmmmmmh! Mbona Mimi Naona Upo Nae Humu Humu JF Muda Wote a.k.a 24/7? au ID Yake Huijui Mkuu? Itafute Tu Vizuri Na Utaijua ILA Nakuhakikishia Kuwa Yupo Humu Kila Wakati Na Isitoshe Ni Mchangiaji Na Muanzishaji Mzuri Tu Wa Threads Mbalimbali Humu.
 
ccm itashinda sana sana,....magufuli anazo kila sifa za kushinda ktk uchaguzi wa mwaka huu.
 
Mimi nimeshangaa sana kama kweli tuna watu wanataka kuwa viongozi, vinywa vimejaa matusi, kwa saa nzima badala kueleza sera, ni matusi tu? Sidhani kama hawa watu wanaamini Mungu yupo. Mungu aliyewapa afya, nguvu na uzima kutukana matusi tu kila iitwapo leo? Watu wengine wapo hoi hospital hata kuongea hawawezi wanatamani pumzi,afya na uhai kwa ajili ya kumtukuza na kumuabudu Mungu tu? Yaani Mungu ni mjinga kuwapa watu pumzi ili watukane tu wenzao? Mbona watu wanakiburi hivi? Mbona wanaijifanya wao ni Mungu? Haya sisi tunamwachia Mungu mwenyewe awaadabishe. Vita vyetu sisi sio juu ya damu na nyama, ila ni katika roho.
 
WATAISOMA NAMBA:

Mgombea urais kupitia CCM Dr John Magufuli amewataka wanainch wa iringa leo wamchague kwa kura nyingi ifikapo tar 25/10 ili wale wapinzani wake waisome namba,magufuli amesema kuwa umati mkubwa uliokuja kumsikiliza unamuelewa na safari hii wataisoma namba kisawa sawa!!

Iring ni Ngome kongwe.Hatuendi kwenye mikutano ya Ukawa kwa maana tunapenda,hata kidogo.Tunaenda kuwaona wanaosema Lowasa si fisadı,nı walewale akina Lısu wa Chadema au sanamu?
 
Back
Top Bottom