Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ni aibu kubwa haijapata kutokea duniani kote kwa mgombea urais kufanya hivo
 
ukipendwa na watu hata Mungu huiona sababu..
nae hachelei kukupenda..
mahaba gani haya kwa Lowasa..
haya yanaitwa "Mahaba niongoze"
 
Mimi kama mwanacham wa CHADEMA nimesikitishwa sana na mwenendo wa.leo yaani mgombea uraisi anaongea dakika 11...Leo ndo ingekuw siku ya lowassa kuelez sera zake kwa mda mrefu coz nyomi ya leo ilikuw ya kutosha na watu walikuw na shauku ya kumsikia ndug Edward lowassa.nimekwatish tamaa sana na mkututano wa leo

Hatutaki waongeaji sieeeee bana ccm washaongea mnooooooo
 
Mbona website yenyewe inasema "under construction"? Asante muda kwa kututhibitishia kuwa Mamvi ni udhaifu, hawezi kusimama more than 15 minutes, ataweza mchaka mchana wa nchi kweli? #HapaKaziTu
 
Rais hamna pale! Ivi kweli mtu na akili yako unatoa kura kwa lowasa,,labda uniambie unaichagu cdm sio lowasa. Wa tz walivosikia elimu elimu elimu wakaanza kuondoka kweli kusoma hatupendi

Lowasa tayari ni rais anasubiri kuapishwa tu
 
Km ni zle swaga za kuongea maneno meeeengi, ahadi kibao zaidi ya 1000,then utekelezaji zero, hatutaki tena, maana ccm wameongea sn, wamejenga hoja nyinge tu miaka54'ila hali ya tz bado matatzo matupu, Namshukuru sn Lowasa, hana mbwembwe, direct to the point basi. Yeye ni mtendaji no blabla.

Amezungumza mambo kama sita hivi, na ma3 kati ya hayo ni babu seya, balali na mashehe wa zanziba. Hayo ndo tunayoyataka kama taifa Mkuu. Think kwa kina kaka
 
Mi nachoona ni UKAWA kutumia ushawishi wa Lowassa kukamata dola. Haya mambo mengine yatanyooka mbele ya safari.
 
Nasikia magari kutoka pale jangwani ni shida. Uwanja umedidimia mita moja na nusu kutokana na nyomi iliyokuwepo.
 
Ukawa walikwa wanasoma mood ya watu. Kwa hiyo wakawapa kile walitaka kusikia. Kwa aina ya watanzania ukianza kuzungumza mambo ya sera sijui nini wanweza kuanza kuondoka mmojammoja. Watu walihamasika sana kwa mfanio Sumaye alipokuwa anamwaga mboga. Walikuwa wanarukaruka na kushangilia kwa nguvu. maana yake nini? Wamesikia walichotaka kusikia! Hayo mambo ya asera wanajua tu kwamba yatatekelezwa. By the way leo ni uzinduzi tu! Tuna miezi miwili ya kufafanua sera!

Sijui kama leo magufuri atapata usingizi kwa mafuriko haya yaliotokea leo
 
Mgombea anaongea dk zisizozidi tano anaahidi kumtoa babu seya... Hivi babu Seya ni kipaumbele nchi hii?nchi hii Ina tatizo la ufisadi hasemi namna gani atadeal na ufisadi na anatwambia habari za babu Seya, who the hell is Babu seya???

Namkumbuka Dr Slaa Kwa kweli
 
Mkuu jamaa mweupe na mwepesi kama pamba,pia ameshindwa hata kuelezea jinsi ya kupambana na rushwa pamoja na ufisadi,halafu anasema tukasome kwenye mitandao ,huyu jamaa anaonekana kweli hajui hali halisi ya watanzania ,eti muda umebaki mchache jamaa kweli msanii akina Juma Nature wapate muda mrefu halafu yeye akose muda,waseme tu jamaa hawezi kuongea zaidi ya dk 10 .

Aongelee ufisadi? Ha ha hujajua km upepo wa chadema yote umebadilika? Wao ni kutetea mafisadi wanaotuhumiwa hadi eti washtakiwe..kwani hawajui tuhuma huzaa mashtaka? Very low visio
 
Back
Top Bottom