Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,560
- 33,764
Ckuamini ulichokifanya, kama mtoto mdogo?
C ungesema kama huwezi? Kwa nini utuaibishe hvo?
Machozi yananitokaaaaaaa
nia ya lowasa ni kuwa rais kabla hajarudi kwa aliyemuumba....
mengine mtajijua