yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,906
Kama wingi wa watu ni kushinda angeshinda mrema 2005 au Dr slaa 2010.tatizo hao unaowaona hapo hawapigi kura na hata wakipiga hawaichagui UKAWA.Tunataka wanadi ilani yao na siyo kutuletea taarabu tu hapa.
Mturejeshee ela zetu za escrow zilizoingia stanbic