Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Ni aibu kubwa haijapata kutokea duniani kote kwa mgombea urais kufanya hivo
 
ukipendwa na watu hata Mungu huiona sababu..
nae hachelei kukupenda..
mahaba gani haya kwa Lowasa..
haya yanaitwa "Mahaba niongoze"
 

Hatutaki waongeaji sieeeee bana ccm washaongea mnooooooo
 
Mbona website yenyewe inasema "under construction"? Asante muda kwa kututhibitishia kuwa Mamvi ni udhaifu, hawezi kusimama more than 15 minutes, ataweza mchaka mchana wa nchi kweli? #HapaKaziTu
 
Rais hamna pale! Ivi kweli mtu na akili yako unatoa kura kwa lowasa,,labda uniambie unaichagu cdm sio lowasa. Wa tz walivosikia elimu elimu elimu wakaanza kuondoka kweli kusoma hatupendi

Lowasa tayari ni rais anasubiri kuapishwa tu
 

Amezungumza mambo kama sita hivi, na ma3 kati ya hayo ni babu seya, balali na mashehe wa zanziba. Hayo ndo tunayoyataka kama taifa Mkuu. Think kwa kina kaka
 
Mi nachoona ni UKAWA kutumia ushawishi wa Lowassa kukamata dola. Haya mambo mengine yatanyooka mbele ya safari.
 
Nasikia magari kutoka pale jangwani ni shida. Uwanja umedidimia mita moja na nusu kutokana na nyomi iliyokuwepo.
 

Sijui kama leo magufuri atapata usingizi kwa mafuriko haya yaliotokea leo
 
Mgombea anaongea dk zisizozidi tano anaahidi kumtoa babu seya... Hivi babu Seya ni kipaumbele nchi hii?nchi hii Ina tatizo la ufisadi hasemi namna gani atadeal na ufisadi na anatwambia habari za babu Seya, who the hell is Babu seya???

Namkumbuka Dr Slaa Kwa kweli
 

Aongelee ufisadi? Ha ha hujajua km upepo wa chadema yote umebadilika? Wao ni kutetea mafisadi wanaotuhumiwa hadi eti washtakiwe..kwani hawajui tuhuma huzaa mashtaka? Very low visio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…