Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Hiari yashinda utumwa hata yaje mafuriko hatuachi kwenda NG'O
 
Mkuu mimi naacha simu home bwana naogopa kuporwa!
Hata hivyo angalia kuna picha hapo Abou Saydou kaiweka....
Na hapo ni saa 6 mchana huu.
Ikifika saa 9 si kutakua kumetapika?

Wanawake mnakaa peke yenu bado unaogopa kuporwa?
 
Last edited by a moderator:
Kinachonishangaza ni views na coments kumhusu lowasa na chadema kuwa nyingi ajabu, yaani ndani ya lisaa limoja views kibao. mfano tangu uzi huu uachiwe hadi sasa 12:34


  • Replies: 229
  • Views: 9,385
 
UMEME yani wamekata miji mikubwa yote...nauku kwenye uzinduzi wa CCM Umeme ulikua TANZANIA nzima....MALOFA NA WAPUMBAVU lazima tuwaoneshe nini maana ya...

Huree team malofa tupoo
 

Attachments

  • 1440840873863.jpg
    14.9 KB · Views: 775
Watu ni wengi sana,wenye magari tafadhal myaache nje ya mji,jangwani hakuna nafasi
 
Mkuu mimi naacha simu home bwana naogopa kuporwa!
Hata hivyo angalia kuna picha hapo Abou Saydou kaiweka....
Na hapo ni saa 6 mchana huu.
Ikifika saa 9 si kutakua kumetapika?
Pamoja nifah najua mafuriko yatakuwa akuna mfano
 
Last edited by a moderator:
Mungu anaweza mtumia yeyote amtakaye kuleta ukombozi
 

jamani haya yote watu hawaoni? Bora ukimwi kuliko lumumba
 
PAMOJA SANAAAAAAAAAA.......UKAWA NI ZAIDI YA TINGATINGA...Peoples powerrrrrrr....Hakiiii sawa...haki sawa kwa nani..kwa wote...NCCR Mageuzi....NLD mabadilikoo....Tunamkubali mgombea wetu na tunakubali mabadiliko. Mabadilikoooooooo.....Lowassaaaaaaaa........Lowassaaaaaa...Mabadilikoooooooooo.
Hatubebi watu kutoka Ikwiriri wala Korogwe, wanakuja wenyewe tena wanakuja taratibu..BIjampola......
KILA LA KHERI WAPENDA MABADILIKO WOOOTEE MLIOJAALIWA KUFIKA JANGWANI.....MUNGU AWATANGULIE MUANZE NAYE MUWE NAYE NA MMALIZE NAYE.....
 
Najua leo hata mjomba anafuatilia hata penda apitwe au aje kuadisiwa ataangalia mwenyewe.
 
Unaona haiwezekani maji kupanda mlima wakati maji yanapanda ghorofani?

achana na akili za wanaccm! kama jk mwenyewe pamoja na kuwepo dar na vyombo vyote vya intelijensia anasema picha za ukawa ni za kuunga unga kwa komputa vipi kwa wafuasi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…