Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Jamani wapendwa kwaherini, ndio naelekea Jangwani hivyo.
Tutaonana jioni...
Am out.
nifah,

Unatuaga sisi tulio jangwani? au ulionao huko nyumbani?
 
Last edited by a moderator:
Jamani wapendwa kwaherini, ndio naelekea Jangwani hivyo.
Tutaonana jioni...
Am out.

umechelewa sana, utakuwa mitaa ya magomeeniiiiii au barabara ya bibi titi, au mtaa wa kongo kariakooooo. jongeaa tafadhali utakuwa umesimama kuhesabiwa haki pamoja na wenyenzio.
 

Nimepita jangwani muda huu nikitokea kariakoo, hiyo nyomi ni balaa! Na watu wanatembea kwa miguu toka kariakoo na wengine wakitokea magomeni! Baada ya SAA moja kutoka sasa pale jangwani itakuwa kama bahari ya watu?
 
Tusisahau tulikotoka jamani. Huwezi kulaani mvua. Mvua ni muhimu kwa Watanzania kuliko UKAWA wala mikutano yake.
 
 
Nini kinakuwasha sasa, hivi wewe lizaboni unalipwa na nani kujifanya hamnazo? Unajidharaulisha sana kamanda. Hata kama wewe uko pale mahala jaribu kufikiri kuwa kuna watu tunakujua fika wewe ni nani ndio maana mwanao mmoja ni nusu mwehu

Ajidharaulishe mara ngapi wakati ashadharauliwa toka day one alipoanza kupiga majungu against UKAWA
 
Njoo uone shughuli ya kiiume hakuna kukata mauno jukwaani au mi
pasho

Ha ha ha! Jamaa mnanipa raha sana. Shughuli ya wanaume wa shoka sio mipasho ya makata-K.
 
Sera ya UKAWA ni kuiondoa CCM ,mengine yatafuata baadae ,Muungano wa Ukawa ni kuiondoa CCM ,umoja wa UKAWA ni kuhakikisha CCM inaondolewa madarakani ,Yaani wakuu wa UKAWA leo wakisema nia na lengo ni kuiondoa CCM basi imetosha kabisa. Hatuhitaji kusikia mambo ya lami wala bahari tumeshasikia mika kibao ,tunalohitaji kusikia ni njia za kuiondoa CCM.
 
Hahahahaha!!! Noooomaaaa sanaaaaa ilo nyomiii. Zaidi ya lile la ccm
 
Hii inaitwa nini kwenye msamiati wa mafuriko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…