Mkuu mwitikio sio mzuri sana. Ila tutaleta update muda si mrefu
haya ni maajabu eti tbc1 nao wako live jangwani... Kulikoni????!!!!
Sisi huku Katavi ndiyo tumeunganishwa na Uwanja wa Jangwani kupitia ITV; jenrereta inaunguruma kama kazi, tumeshatumia lita 20 bado zingine 55 zipo. Leo ni kusikiliza hoja tu toka UKAWA ili tulinganishe na CCM halafu tuchukue uamuzi sahihi.
Tumaini Makene yupo wapi...mbona huu uzi ni wakijinga tu sioni update jamani....
Hahahaaah mlete
Ni yeye au sound setting??!
Hapa Iringa gari aina ya costa 11 zimetoka hapa kwenda Dar. Gari hizo zimekodolishwa na zimewapeleka wana UKIWA.
Kama mkoa mmoja umepeleka watu wote hao inakuwaje kama ni kwa mikoa yote?.
Hatudanganyiki na Tsunami feki.
Hizi habari bila picha ni uzushi. Hamna cha mafuriko wala gharika.au bado mnaziunganisha.
Huyu jamaa magazeti ni kada wa ccm katupiga bao la mkono.
swissme
Haya ni maajabu eti TBC1 nao wako Live jangwani... Kulikoni????!!!!