Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kwa kitendi hiki cha kukuta umeme loe, ccm mnikera kunikosesha kuangali game, hasira zangu sitoenda kupiga kura.
 
Watu wa red cross wanaitwa na MC nani kaanguka jamani mliopo hapo? Tuombe MUNGU asiwe LOWASA mana CCM watapata la kusema
 
Yule bwana aliyesema picha za photoshop alazimishwe kuangalia ITV kilazima
 
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....


Kweli kbs mkuu umenena
 
Hata siku ya uzinduzi wa kampeni zetu pia umeme ulikatwa. Kwa sasa TANESCO wapo kwenye kusimika mitambo yenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi, je ulitaka waache kazi hiyo kisa huyo mgonjwa wenu!?!
Umeona et
 

Wakuu Mwafrika na swissme, hata mimi nimeliona hili. Hii inaudhi sana. Nililiona hususani kwenye ile kampeni ya CCM pale Mkapa alipotukana - watu tulikuwa tunanzisha threads exclusively kutoa maoni ya kiuchambuzi kuhusiana na matusi yale, lakini zote zilikuwa zinaondolewa - I never understood that though I didn't complain.

Hawa jamaa wakizidi sana huu uchuro wao, na tukiona vipi, mwishowe tutajitenga tuanzishe "Jamii Forums" yetu wakuu! It's not like it is rocket science at all! It's not even that technical - anyone can do it - basi tu ni kwa vile watu tuna mambo mengi ya kufanya.

Nietzsche.
 
Tunataka mabadiliko whether they will bring positive result or not.Ukizidiwa na kiu unaweza hata kunywa mkojo wako mweyewe.They have failed for 50+ yrs.We want changes.....

Nafikir ungetakiwa kusema tunataka mabadiliko na tunaamini yatakuwa positive.....lol
 
Hata siku ya uzinduzi wa kampeni zetu pia umeme ulikatwa. Kwa sasa TANESCO wapo kwenye kusimika mitambo yenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi, je ulitaka waache kazi hiyo kisa huyo mgonjwa wenu!?!

Kwenda huko!
 
Wemesombwa na mafuriko ya ukawa chezea ukawa wee

Wanajikomba tu hao TBCCM ili wasionekane noma kutumia kodi za umma kupigia debe Padlock na Samia. Hawana lolote. Tena wanamung'unya sana maneno hata uhalisia unatokea jangwani huupati na wanakwepa kupeleka Kamera kwenye umati. Yaani ninahamia TV nyingine kupata uhalisia. TBCCM ovyooo.
 

udin ukabila no room. Hapa ni mabadiliko tuu!
 
Daaaaaah nimeipenda hii mbinu ya kuweka vibwagizo vya mwalimu nyerere!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…