kelele zote nilijua unahamia tv ya FISADI LOWASSAWanajikomba tu hao TBCCM ili wasionekane noma kutumia kodi za umma kupigia debe Padlock na Samia. Hawana lolote. Tena wanamung'unya sana maneno hata uhalisia unatokea jangwani huupati na wanakwepa kupeleka Kamera kwenye umati. Yaani ninahamia TV nyingine kupata uhalisia. TBCCM ovyooo.
Naam znz Umeme hakuna
tulia dawa ikuingie povu la nini?
..umeme umekatwa mji mzima dar....kama kuna wenye umeme waseme hapa....alafu chanel 10 walikua wanaonyesha ufunguzi wa ccm leo...yaani parallel na ufunguzi live wa UKAWA...nimegundua sasa chanel 10 wamenunuliwa na ccm....will never watch them dogs....
Pole Sana mkuu. Uwe hapa ili upate kila kituTANESCOCCM wamefanya yao. makamanda mliopo jangwani endeleeni kutupa updates. hapa mtaani tumedhibitiwa na TANESCOCCM. lakini hata hivyo, malofa na wapumbavu tutafuatilia mkutano wa ukombozi kutoka jangwani kupitia kwenye viredeo vyetu vya mkulima.
Inawalazimu hahaha poleyao mazuzuDuh...DJ aliweka Audio ya zito akihutubia bungeni MC akawa makini na ku mute. Kwa wepesi ule wa MC kuingilia lila na kulipoteza, seems MC alikosa imani na huyu DJ tangu Mwanzo.
..umeme umekatwa mji mzima dar....kama kuna wenye umeme waseme hapa....alafu chanel 10 walikua wanaonyesha ufunguzi wa ccm leo...yaani parallel na ufunguzi live wa UKAWA...nimegundua sasa chanel 10 wamenunuliwa na ccm....will never watch them dogs....
Mtangazaji wa ITV ananikosha kweli.
moods unganisha hizi picha pale juu
Slaa katoweka Teh Teh...