Hakika Mkuu
nenda kamkalie dudu lake nyumbani kwakeJamani namtafuta Dr.W.Slaa
Heee, yamekuwa hayo tena? Si mlisema wenyewe Kipenzi cha wengi, Dr Slaa angekuwepo? Watu wengi tumejitokeza kumiona Slaa na wabunge 30 wa CCM wanaoachia ngazi, mmeniudhi sasa naondoka.Acha Unafiki Mleta Mada
Sasa Unahaha Nini Sikiliza Nini Ukawa Imekuketea
Unadhani Huyo Slaa Pekee Ndiyo Chama
Wenye akili wamemwama lowasa, chama sio lowasa ni cha watanzania. Lowasa mgombea binafsi. Chadema hata ikijipangaje mgombea wake ni feki.
Tumaini Makene na Molemo wapo na Rais wa mioyo yao. Hivi hamuwezi kung'amua kwamba tangia kutokee sintofahamu kati ya CHADEMA na Dr. Slaa hawa jamaa wawili wamekuwa inactive kuhusu mambo ya CHADEMA? Molemo hadi sasa anaamini kwamba Rais wa moyo wake ni Dr. Slaa basi.makene yuko wapi jamani mkuu hebu tupase sauti aje huku
Anafanya tendo, haya mkuuMbowe anakaribishwa kufanya tendo la kuzindua ilani
Wewe ni mfungwa tu kamwe huwezi kuwa huru hadi ufunguliwe
Vyombo vya habari mbalimbali viliripoti kuwa Dr Slaa Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye haifahamiki hatma yake na ametawaliwa na SINTOFAHAMU kubwa ndani ya Chama hicho kuwa atahudhuria kwenye mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za UKAWA ulioratibiwa na Edward Lowassa, Mgombea Urais mteule wa UKAWA.
Wala hakuna mbunge wa CCM, ama chama kingine chochote ambae amejiunga na UKAWA na kuachia majimbo waliyosimama ili wabunge wa UKAWA wapite bila kupingwa.
Ndugu zangu watanzania, tumedanganywa tena kudanganywa kuliko kukubwa kabisa..