Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Leo Mbowe amesema alikusudia atoa sadaka lakini sadaka hiyo ataitoa kwingineko katika katika mikutano ya Ukawa.
Ni sadaka gani hiyo? Au ni ile ya Soweto kule Arusha au Daudi Mwangosi kule Iringa?
 
Ndugu mbowe huu ulikua wakati wa wewe kuwaeleza watanzania kwanini lowasa ni zaidi ya DK SLAA badala yake anakuja kutupa kutuambia utafiti usio na uthibitisho. UKAWA mnacheza nawaambia
 
Hadi sasa naona mnawaongelea ccm tu, hamna sera. Tunasubiri sera zenu sasa, kama hamwapendi ccm Mbona mnawaongelea sana? Binafsi huwa simuongelei adui yangu maana kwa kufanya hivyo unampandisha chati adui yako

Tunacho kitabu chenye sera za ccm mkononi, tunasubiri sera za ukawa tulinganishe, maana so far mnataka kuingia ikulu bila kuwa na cha Kufanya,mnaenda Kunywa juice? #HapaKaziTu
 
lafudhi ya sumaye haina mvuto kabisa,hivi ni mhazbe nini huyu,,,,
 
kasema, unless hukusikia

Mods unganisheni hii na thread mama
 
Mbowe ameshindwa kabisa namna gani amsafishe fisadi mamvi
 
Sumaye naye kaja na taarabu...no point!!

Na manvi atakuja na " mchaka-mchaka .....×2
 
Acha kutuchafulia hewa umu ndani wewe...IYO SIYO OJA TUNACHOSIMAMIA NI M4C MABADILIKOOOOOOOOO
 
Kakojoe ulale, yeye lowasa ndiyo kakabidhiwa ilani, yeye atatuambia kwa nini tumchague na siyo mbowe, kuku wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…