Duuuh sumaye ni mzandiki na mnafiki sijawahi kuona..leo anamsifia lowasa ambaye alisema akipewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya ccm angehama chama..!
Tuwaulize nyie mnaosema kuna mafuriko. Tunataka atueleze kuhusu Richmond maana wao ndiyo walisema ni fisadi. Tunataka tusikie akisema siyo fisadi.
Duuuh sumaye ni mzandiki na mnafiki sijawahi kuona..leo anamsifia lowasa ambaye alisema akipewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya ccm angehama chama..!
Yaani imekuwa ni kampeni ya Kumsafisha Lowassa na Sumaye badala ya kutuambia watatufanyia nini wao kama UKAWA!wamechemka leo!watu walikua wanataka kusikia nini
Sumaye Sema! Usiogope!
Sumae Leo kaamua kuzungumza......
Huu ndiyo wakati wa kujua sura halisi ya mwanasiasa. Wote na mamvi ni mandumilakuwili.
Mnaweka kakupande kale mnakokata ili kudanganya watu, weka hotuba nzima na ile ya yule anayetoa fedha ili aipate ikulu, pia utuwekee pia ya Dr.Slaa ya pale Arumeru kumhusu fisadi papa alivyochanwa live.
Wamekataaaaa.......