permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mambo mengine fix tu.Halafu sijui kwanini hii ya kufukia maiti uwanjani huwa inapendwa sana, kuna jamaa aliniambia hii kitu nikiwa mkoa fulani, kwenye mechi ya ligi nilishangaa sana, nasikia wanaenda mortuary wanachukua maiti inaenda kufukiwa uwanjani, baadaye maiti inarudishwa ilikotolewa.