Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #21
Shukrani mkuu, ngoja tuone utekelezaji wake. Mana siku hizi gari nyingine zinaacha ruti tok temeke mpaka toangoma, mbagala mpaka gongo la mboto zinakuja kukaa kibada kwemda mwasonga. Ruti ile ishakuwa kubwa sasaUmefanya jambo zuri Sana .
Ok asante kwa taarifa salam zao Kidagaa msalimie afande Bageni hapo Kimbiji JKTKimbiji kwa sasa mdo imechangamka, mwasonga na Puna kias chake. Pia magodani na cheka sio mbaya ila changamoto ya magodani ni uswazi kwelikweli mana panauzwa hole la sana
Jambo kuruta wa mungu?Ok asante kwa taarifa salam zao Kidagaa msalimie afande Bageni hapo Kimbiji JKT
Umeanza kwenda mwasonga lini chief au umeanza kuijua mwasonga lini mzee nisha fanya project ya matikiti unapita mwasonga mwisho maeneo ya nyumba za saccos nilikaa huko 2016 nauli ilikuwa 1000 mpaka kibada kwa miaka iyo sasa nakushangaa unavyosema eti ilikuwa 500 tatizo ubovu wa barabara angalia hata gari zao zimechoka zote ukipanda kibada utakiwi umpe hela konda njiani ukimpa hela njiani imekula kwako mda wowote gari linazingua njiani nanauli hailudi labda uvizie malori ya kwenya nyati cementKwema wakuu?
Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.
Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200
Kwa mujibu wa tovuti yenu, na mpango wa nauli kulingana na kilometer ile sehemu ingekuwa nauli ni 750 tu.
Naomba wahusika mlifanyie kazi wananchi wanateseka kule. Sawa hakuna lami lakini hii nauli bado kubwa sana na ikiwezekana mtusaidie ruti ya kariakoo ili wengine tuhamie kwemye vibanda vyetu
Wasalaam,
Nongwa
JamboJambo kuruta wa mungu?
Wee jamaa 2016 hadi 2024 ni takriban miaka 8 hebu rudi tena ukakuoneUmeanza kwenda mwasonga lini chief au umeanza kuijua mwasonga lini mzee nisha fanya project ya matikiti unapita mwasonga mwisho maeneo ya nyumba za saccos nilikaa huko 2016 nauli ilikuwa 1000 mpaka kibada kwa miaka iyo sasa nakushangaa unavyosema eti ilikuwa 500 tatizo ubovu wa barabara angalia hata gari zao zimechoka zote ukipanda kibada utakiwi umpe hela konda njiani ukimpa hela njiani imekula kwako mda wowote gari linazingua njiani nanauli hailudi labda uvizie malori ya kwenya nyati cement
Latra wahimize kila gari jedwali la nauli liwepo mahali pa waziPale nauli ni 600 tu, latra kule wanapachukuliaje sijui. Mimi nitaripoti kila nikiona tatizo. Mwasonga wanatuonea sana na sisi hatuhamii mpaka mazingira yawe rafiki
Kwema wakuu?
Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.
Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200
Kwa mujibu wa tovuti yenu, na mpango wa nauli kulingana na kilometer ile sehemu ingekuwa nauli ni 750 tu.
Naomba wahusika mlifanyie kazi wananchi wanateseka kule. Sawa hakuna lami lakini hii nauli bado kubwa sana na ikiwezekana mtusaidie ruti ya kariakoo ili wengine tuhamie kwemye vibanda vyetu
Wasalaam,
Nongwa
Mkuu usafiri wa mwasonga unachekesha sana.Umeanza kwenda mwasonga lini chief au umeanza kuijua mwasonga lini mzee nisha fanya project ya matikiti unapita mwasonga mwisho maeneo ya nyumba za saccos nilikaa huko 2016 nauli ilikuwa 1000 mpaka kibada kwa miaka iyo sasa nakushangaa unavyosema eti ilikuwa 500 tatizo ubovu wa barabara angalia hata gari zao zimechoka zote ukipanda kibada utakiwi umpe hela konda njiani ukimpa hela njiani imekula kwako mda wowote gari linazingua njiani nanauli hailudi labda uvizie malori ya kwenya nyati cement
Yes nauli ya mwasonga ya chini kabisa ni mia saba na sio miatano.Hiyo ya nauli 500 ilikuwa mwaka gani ndugu yangu? Mana kipindi mimi nahamia Kibada miaka mitano iliyopita nauli ilikuwa 1000
Buku kutoka mwasonga hadi wapi?Hiyo ya nauli 500 ilikuwa mwaka gani ndugu yangu? Mana kipindi mimi nahamia Kibada miaka mitano iliyopita nauli ilikuwa 1000
Kwa sabab gani za kisayansi?Kwani kuna Lami kutoka Kibada mpaka mwasonga? Nilikuja Dar Zoo kuona wanyama na pia kufanya study tour kiwanda cha Afya water.
Kama bado ni rough road 1200 bado ndogo.
Hata mimi naona 1,200 ni ndogo sana, ilitakiwa iwe japo 1,800.Kwema wakuu?
Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.
Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200
Kwa mujibu wa tovuti yenu, na mpango wa nauli kulingana na kilometer ile sehemu ingekuwa nauli ni 750 tu.
Naomba wahusika mlifanyie kazi wananchi wanateseka kule. Sawa hakuna lami lakini hii nauli bado kubwa sana na ikiwezekana mtusaidie ruti ya kariakoo ili wengine tuhamie kwemye vibanda vyetu
Wasalaam,
Nongwa
Kwa umbali uliopo kutoka kibada pale nauli hesabu ya latra haiwez kufika 900. Ni Kama mbagala kwenda magomeniYes nauli ya mwasonga ya chini kabisa ni mia saba na sio miatano.
Wakati wa mvua na usiku nauli zinapanda mpaka 1500.
Gari zenyewe sasa utachoka.
Kama una roho ndogo unaweza usipande.
HiiHata mimi naona 1,200 ni ndogo sana, ilitakiwa iwe japo 1,800.
Kila kilomita moja shillingi 100.
Lugwadu siwez kuishi hata bure kule. Nowadays naishi Kibondemaji, kijichi ni makazi ya familia. Mwasonga kuna kiplot kule nimekinunua mwaka janaSasa we baby unanichanganya,uliniambia unaishi Kijichi,Leo umekuwa mwenyeji wa Mwasonga,isije tena mwezi ujao ukaniambia unaishi Lugwadu