KERO Kutoka Kibada mpaka Mwasonga ni kilometer 18 tu, nauli inakuaje 1200? Latra mko wapi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwema wakuu?

Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.

Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200

Kwa mujibu wa tovuti yenu, na mpango wa nauli kulingana na kilometer ile sehemu ingekuwa nauli ni 750 tu.

Naomba wahusika mlifanyie kazi wananchi wanateseka kule. Sawa hakuna lami lakini hii nauli bado kubwa sana na ikiwezekana mtusaidie ruti ya kariakoo ili wengine tuhamie kwemye vibanda vyetu

Wasalaam,
Nongwa
Umeanza kwenda mwasonga lini chief au umeanza kuijua mwasonga lini mzee nisha fanya project ya matikiti unapita mwasonga mwisho maeneo ya nyumba za saccos nilikaa huko 2016 nauli ilikuwa 1000 mpaka kibada kwa miaka iyo sasa nakushangaa unavyosema eti ilikuwa 500 tatizo ubovu wa barabara angalia hata gari zao zimechoka zote ukipanda kibada utakiwi umpe hela konda njiani ukimpa hela njiani imekula kwako mda wowote gari linazingua njiani nanauli hailudi labda uvizie malori ya kwenya nyati cement
 
Wee jamaa 2016 hadi 2024 ni takriban miaka 8 hebu rudi tena ukakuone
 
Kwema wakuu?

Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.

Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200

Kwa mujibu wa tovuti yenu, na mpango wa nauli kulingana na kilometer ile sehemu ingekuwa nauli ni 750 tu.

Naomba wahusika mlifanyie kazi wananchi wanateseka kule. Sawa hakuna lami lakini hii nauli bado kubwa sana na ikiwezekana mtusaidie ruti ya kariakoo ili wengine tuhamie kwemye vibanda vyetu

Wasalaam,
Nongwa

Kwani kuna Lami kutoka Kibada mpaka mwasonga? Nilikuja Dar Zoo kuona wanyama na pia kufanya study tour kiwanda cha Afya water.

Kama bado ni rough road 1200 bado ndogo.
 
Umeanza kwenda mwasonga lini chief au umeanza kuijua mwasonga lini mzee nisha fanya project ya matikiti unapita mwasonga mwisho maeneo ya nyumba za saccos nilikaa huko 2016 nauli ilikuwa 1000 mpaka kibada kwa miaka iyo sasa nakushangaa unavyosema eti ilikuwa 500 tatizo ubovu wa barabara angalia hata gari zao zimechoka zote ukipanda kibada utakiwi umpe hela konda njiani ukimpa hela njiani imekula kwako mda wowote gari linazingua njiani nanauli hailudi labda uvizie malori ya kwenya nyati cement
Mkuu usafiri wa mwasonga unachekesha sana.

Nishawai kupanda gari kibada kwenda mwasonga kufika miembeni gari gia zimegoma haziingii wala kutoka na mwendo wa gari mdogo mdogo.

Abiria ukitaka kushuka itabidi uruke gari ikiwa inatembea.

Tatizo likaja gari itasimamaje ikifika stendi.

Ikabidi konda ampigie jamaa pale stendi aandae gogo gari ikija ikite isimame.

Daah sisahau ile siku ilikuwa balaa abiria full kucheka.

Hayo ndiyo magari ya mwasonga.
 
Hiyo ya nauli 500 ilikuwa mwaka gani ndugu yangu? Mana kipindi mimi nahamia Kibada miaka mitano iliyopita nauli ilikuwa 1000
Yes nauli ya mwasonga ya chini kabisa ni mia saba na sio miatano.

Wakati wa mvua na usiku nauli zinapanda mpaka 1500.

Gari zenyewe sasa utachoka.

Kama una roho ndogo unaweza usipande.
 
Mpaka sasa najiuliza nn kimewasukuma Latra kupandisha nauli ya daladala na mabasi tena Kwa muda mfupi.
Inafikia stage nauli ya daladala ni 600 lakini konda wanachukua jero jero(500) na sababu nyepesi ni chenji wakati tunaona kabisaaa hyo 500 inawatosheleza todauti na zamani makonda wanahangaika kutafuta chenji,hii inadhihirisha namna Latra walivyokurupuka.
Miongoni mwa sababu zao za kijinga ni Kuzibiti uchakavu wa mabasi kwa kununua vipuli vipya vya magari vinavyopanda bei,kudhibiti ukatishaji wa ruti za mabasi,kuondoa ujanja wa kugeuka na gari unaofanywa na daladala ili wapate Hela mara mbili n.k

Katika yote hakuna hata Moja Zaid ya kuwaneemesha madereva/makonda wa mabasi na kupeleka kilio kwa wananchi.
ONE DAY HUU UKONDOOO UTAISHA TU NA HAPATOKALIKA
 
Kwema wakuu?

Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli.

Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200

Kwa mujibu wa tovuti yenu, na mpango wa nauli kulingana na kilometer ile sehemu ingekuwa nauli ni 750 tu.

Naomba wahusika mlifanyie kazi wananchi wanateseka kule. Sawa hakuna lami lakini hii nauli bado kubwa sana na ikiwezekana mtusaidie ruti ya kariakoo ili wengine tuhamie kwemye vibanda vyetu

Wasalaam,
Nongwa
Hata mimi naona 1,200 ni ndogo sana, ilitakiwa iwe japo 1,800.

Kila kilomita moja shillingi 100.
 
Yes nauli ya mwasonga ya chini kabisa ni mia saba na sio miatano.

Wakati wa mvua na usiku nauli zinapanda mpaka 1500.

Gari zenyewe sasa utachoka.

Kama una roho ndogo unaweza usipande.
Kwa umbali uliopo kutoka kibada pale nauli hesabu ya latra haiwez kufika 900. Ni Kama mbagala kwenda magomeni
 
Hata mimi naona 1,200 ni ndogo sana, ilitakiwa iwe japo 1,800.

Kila kilomita moja shillingi 100.
Hii
Screenshot_20241114_171026_Chrome.jpg
 
Sasa we baby unanichanganya,uliniambia unaishi Kijichi,Leo umekuwa mwenyeji wa Mwasonga,isije tena mwezi ujao ukaniambia unaishi Lugwadu
Lugwadu siwez kuishi hata bure kule. Nowadays naishi Kibondemaji, kijichi ni makazi ya familia. Mwasonga kuna kiplot kule nimekinunua mwaka jana
 
Back
Top Bottom