Bobuk,
Bado TANZANIA yetu haina DINI wala KABILA kama alivyo Mungu wetu sote. Baadhi yetu wameji-legitimize kwa DINI zao. Ni taabu kuwaondoa watu hawa kwenye dini hizo. Utambulisho na uhalali wao ni hizo dini zao. Mbaya zaidi wameandika hivo. Wanao wafuasi pia. Watu hawa ukiwauliza kwa nini makanisa yachomwe, kwa Mapadre wauwawe, wajeruhiwe, watakwambia wanataka kuwa martyr wa DINI zao!
Niliambiwa kuwa Mtu Mwenye kula Nguruwe huwa mropokaji, mpayukaji haya hana... Mag3 unakula Nguruwe? Kwanini Wasabato hawali?jackline, nimepita tu baada ya kuliona jina langu limetajwa na sitasumbuka kusoma zaidi yaliyomo ndani ya thread hii for that would be stooping and I choose never to stoop. Mohamed Said? Ndio nani huyo tena? Hilo jina nililifuta kabisa katika orodha ya...ooops, I had promised myself not to ever stoop...! Samahani jackline, nakitoa, huo muda wa kupoteza sina! Kwa sasa tunajadili namna ya kujenga msingi imara wa taifa...Katiba inayoitambua Tanganyika.
Unajidanganya ndugu yangu.Ungetumia muda mrefu kumkemea mdini Lukuvi ningekuelewa.Na ungekua mkweli basi ungewaambia wasomaji kile eanachokifanya Wakristu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati(C.A.R)Wale si wanatumia mtutu kulinda dini yao.Sielewi Wakristu wa Tanzania wamelishwa sumu gani kuwachkia hivi Waislam.Kwa kweli ni lazima hapa kuna jambo zito.Kulinda kile unachokiamini si suala la kua Muislam bali kila anayeamini kua imani yake inachezewa kwa namna isiyovumilika basi jambo la mwisho kulifanya ni kulinda na kutetea kile anachokiamini.
Kanyigo,
Sheikh Ponda Issa Ponda ni ndugu yangu na rafiki yangu kipenzi.
Hayo mengine ulosema sioni kama kuna tija yoyote itapatikana
kwa mimi kukujibu.
Mbona waliosema 99% hukuwaomba ushahidi?
Amandla......
Kwa sababu hata mimi nnalijuwa hilo.
Mchakato unaendelea. Wakatoliki wenzake wanazihangaikia hizo heri. Zikikosekana au hata zikipatikana zikapingwa na mtu kama wewe Faiza, Mwalimu hatatangazwa kuwa mwenyeheri na wewe na wa aina yako mtafurahi kabisa ingawa mnayo DINI yenu na mambo yenu.
Bobukndiyo hizo no wonder hii dini iko in conflicts with all religion/believes of this world. Islam v. Christian (Nigeria) Islam v Jews (Israel/Palestine), Islam v Hindu (India) Islam v. Budha (Thailand), Islam v Animist (Sudan) you mention them. Lakini uki substitute Islam with other religion you will never get that scenario.
Matawana,
Upo ushahidi vipi Kanisa linaongoza serikali.
Tatizo ni hofu ya marais wote kuukubali ukweli huu.
Mzee Mohamed Said wewe ni mmanyema wa Kigoma kwa akina abakorakamo. Mahaba uliyonayo kwa Zanzibar yanatoka wapi? Pambana Tanganyika yako Irudi.
Wewe vipi laumu Maalim Mohamed Said yeye kusemea mambo ya Zanzibar kwa sababu yeye penda Tanganyika. Wewe kama taka Tanganyika rudi basi pigania free sovereign Zanzibar. Impossible Tanganyika to annex Zanzibar and call it Tanganyika. You learn history from him sio that been cooked at Pengo's Altart and Chuo ya Kivukoni.
gombesugu bhai
WEWE bin adamu, great thinkers wanakata maswala wewe unaleta madrasa humu- ni wakati wa kuamka-kumepambazuka,yaliyopita yamepita wewe umeshachelewa hakikisha wanao wanaenda shule,iwe mwiko kuwaoza wakiwa bado wadogoTatizo la kuwa na stress za maisha ndo kama hivi, unaongea kitu hata hueleweki alimradi tu nawe ionekane walau umecomment.
Kwa kukusaidia ili uondokane na huu msongo wa mawazo ambao umekuwa ukikusumbua kwa siku nyingi bila kupata tiba. Chukua haya ninayokwambia na utapona kabisa mpaka siku yako ya mwisho hapa duniani. Tiba hii ingia katika mwanga na toka haraka sana huko gizani. Ingia katika nuur ya Uisilamu utaishi maisha yenye amani tele.
Pole sana ninaelewa ni wengi sana wenye matatizo kama yako lakini kwa kukufahamisha zaidi wale wazungu ambao unawaamini sana sasa hivi wameitambua hii tiba ninayokuelezea hapa na kwa hakika mamia kwa mamia wanaingia katika diyn ya Haq ili kuondokana na stress zilizokuwa zikiwasumbua kwa muda mrefu sana. Hujachelewa amka sasa uingie katika Nuur. Usikubali kabisa kuendelea kuwa mfuasi wa wanaowaambia wafuasi wao kuwa dini yao hawawazi kuielewa mpaka wapate roho mtakatifu.
Huwezi samehewa dhambi kupitia kwa mtu kama hao viongozi wako wanavyokuelekezeni. Aidha kwa tafakur zaidi jaribu kutumia muda mchache kwa kutumia akili ambazo umejaaliwa na Muumba kuhoji ni vipi mungu akauliwa?, ni vipi mungu akadhalilishwa? ni vipi mungu alieumba mwanadamu halafu tena azaliwe na huyo mwanadamu aliyemuumba.
Karibu katika Mwanga....