Bobuk,
Bado TANZANIA yetu haina DINI wala KABILA kama alivyo Mungu wetu sote. Baadhi yetu wameji-legitimize kwa DINI zao. Ni taabu kuwaondoa watu hawa kwenye dini hizo. Utambulisho na uhalali wao ni hizo dini zao. Mbaya zaidi wameandika hivo. Wanao wafuasi pia. Watu hawa ukiwauliza kwa nini makanisa yachomwe, kwa Mapadre wauwawe, wajeruhiwe, watakwambia wanataka kuwa martyr wa DINI zao!
Hata Lukuvi amejinasibu na kujitanabahisha kwa Ukirosto wake