Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

Kwa mtu anayetumia akili atagundua Uvamizi wa Kursk ilikuwa ni jitihada ya kulazimisha Urusi ipunguze vikosi vyake vilivyopo mstari wa mbele kule Donbass.

Matokeo yake Urusi kaita reserve kuja kupambana na Wakirene huku wao wakiendelea na milango Yao kule Prokovsk direction.

Swali la kujiuliza, ni nini malengo yao hapo Kursk?
1.Kuteka Ili baadae waijumuishe kule Ukraine?
2.Kuitumia kama leverage Ili waweze kurudisha baadhi ya maeneo yaliyokombolewa na Urusi?
3.Kusababisha vurugu kati ya Warusi na uongozi wao kuwa ni incompetent?
Zelesky alisema urusi lazima ionje mazara ya Vita. Na hyo ndo njia sahihi
 
Hujawahi kua na akili kijana ndio maana kwenu ushoga na kusagwa kama mahindi fashion
Mbona ostaz umekuwa ni mtu unayetukanwa sana kulikoni watu wote,? Shida nini Shekhe..?

Shida itakuwa wewe, unaendekeza mambo ya kijinga ya watu wajinga ilihali unaakili timamu

Jiheshimu uheshimiwe mkuu
 
Mbona ostaz umekuwa ni mtu unayetukanwa sana kulikoni watu wote,? Shida nini Shekhe..?

Shida itakuwa wewe, unaendekeza mambo ya kijinga ya watu wajinga ilihali unaakili timamu

Jiheshimu uheshimiwe mkuu
Nishawahi kukuvunjia heshima hata siku moja?

Hata huyo nlomwambia hana akili sijamvunjia heshma nimempa ukweli wake au kumpa mtu ukweli ni kumvunjia heshma
 
Sikutegemea kama kwa zama hizi bado kuna watu hamjui war strategy mnaropoka kishabiki😀

1.Katika vita anaeshambulia na anaeshambuliwa nani huwa analoose resources?
2. Ukraine anapigana mwenyewe au anavikosi vya marekani na vibaraka wake? Zaidi nchi48 za umoja wa NATO?
3. and why? Useme ameingia na kumpiga mrusi? Sema waingia Russia
4. Kursk ni jimbo moja ambalo
USICHOKIJUA SASA
Kursk ni jimbo moja tu ambalo hata hivyo Russia ameliacha bila ulinzi akijua kabisa kuwa ndiko watakapo ingilia na kupay attention pale huku yeye akiendelea na mpango wake wa kuboresha nuclear test kwaajili ya kibaraka mkuu na rafiki zake kama ufaransa na ujeruman and sasa nchi jirani na Ukraine wameanza opperation ya mazoezi kwa kushirikiana na china pamoja na north korea kwaajili ya kipigo havy ambacho kitasimuliwa
Na kingine nakusanua ujue mshabiki mwenzangu kuwa mtego wametegewa nao wamejaa pale kuna idadi ya ndugu zao wa Ukraine zaidi ya warusi sasa kama ulikuwa hujui Russian wengi walikuwa evacuated mapema kabla ya uvamizi na kingine jiulize mbona majimbo mawili yakwao yaliyo ndani ya Ukraine wameshindwa kuyamkomboa mpk sasa bado yamekaliwa na Russia?🤣

Ngoja ninywe chai nakusubiri uje na fact katika kunijibu hayo maswali muhimu kisha tuendelee.
 
Mamlaka ya Ukraine imeamuru kuhamishwa kwa mji muhimu katika eneo la Donbas huku vikosi vya Urusi vikiendelea kupata mafanikio mashariki mwa nchi hiyo, licha ya mashambulizi yanayoendelea ya Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi.

maafisa walisema familia zilizo na watoto wanaoishi Pokrovsk na vijiji vya jirani zitalazimika kuondoka.

Mkuu wa serikali ya kijeshi ya mji huo, Serhii Dobriak, alisema wakazi walikuwa na angalau wiki mbili kukimbia kusonga mbele kwa Urusi.

mji muhimu kimkakati ni moja ya ngome kuu ya Ukraine ya ulinzi na kitovu muhimu cha vifaa kwa ajili ya askari wa Kyiv upande wa mashariki.

Mkuu wa mkoa wa Donetsk Vadym Filashkin alisema zaidi ya watu 53,000, ikiwa ni pamoja na karibu watoto 4,000, walibakia katika jiji hilo.

alisema mamlaka imechukua uamuzi wa kuwahamisha watoto na wazazi au walezi wao kwa nguvu.

"Wakati miji yetu iko ndani ya safu ya karibu silaha yoyote ya adui, uamuzi wa kuhama ni muhimu na hauepukiki."

Bw Dobriak alisema kiwango cha uokoaji kutoka jijini kimepanda hadi watu wapatao 500 hadi 600 kwa siku. Alisema kuwa wakati huduma za kimsingi zinaendelea kufanya kazi, kuna uwezekano wataacha kufanya kazi hivi karibuni kwani jeshi la Urusi linafunga.

amri ya kuondoka ilikuja hata kama Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema vikosi vyake vinaendelea kupata mafanikio wakati wa uvamizi wa eneo la Kursk la Urusi.

IMERIPORT BBC SAA 21 ZILIZOPITA
Ingeriport RT nisingeiweka hapa hiyo story hii ni mainstream media ya west sasa ndio uanze kuconnect mind yako na niliyoyasema hapo awali putin anatumia akili nyingi sana kwenye hii operation nfivyo huiita yeye haiiti vita, ila wenzake wa Ukraine wanaitumia km mtaji wa kisiasa kwa zelensky maana hata muda wake wa kukaa madarakani umeisha kwahiyo kwa ni money laundering ndiyo anayofanya

Kwa hiki anachokifanya putin kuiacha Ukraine kuingia katika jimbo la kursk ni mchezo wa paka na panya yaani paka anaacha hapo chakula panya anakuja anakula huku yeye yuko kwenye shimo la panya anakula watoto wake panya akirudi anakutana nae kwenye tundu nayeye analiwa habari inaishia hapo.🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20240820-162002.png
    Screenshot_20240820-162002.png
    535.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240820-162017.png
    Screenshot_20240820-162017.png
    236.7 KB · Views: 2

Picha eneo zima la mrusi lilipo ndani ya ukrain mpaka wanalia kuhusu furusha watu wao halafu taarifa zinasema kuwa mkoa wa kieb ndio ulio na vikosi na silaha muhimu sana zinazowapa nguvu ya mashambulizi ukrain halafu putin ndipo ametarget then what yaani unakimbia kuteka mkoa mmoja unaacha mikoa minne na majimbo yake adui amekaa na unawezaje kuanza kuingia kwake badala ya kumkiza kwanza atoke kwako? Na ndio maana wanateka mpk wananchi hii ni kuanza kutaguta kubadilishana mateka hakuna jingine ukrain akiwa anazungukwa na majeshi ya nchi za magharibi NATO amefeli pakubwa sana

Kuhusu suala la washirika wa urusi kuanza mazoezi ya kijeshi belarus hii iko wazi na china ameanza pia huku north korea kaanza muda sana
 
Attachments

  • Screenshot_20240820-161739.jpg
    Screenshot_20240820-161739.jpg
    81.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240820-114424.jpg
    Screenshot_20240820-114424.jpg
    60.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom