Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Kazi za DGI 80% ni classified na top secret hata makamu wa Rais na Waziri Mkuu wanaweza wasiziguse sasa wewe kaa na Siro wako ambae wenye mamlaka kuu ya kumuweka kizuizini ndio hao una wa underate
 

Hivi Mangu kaishia wapi ?
 
Cheo cha direkta Wa tiss cha kijeshi kinaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani mwenye cheo kikubwa? Je mtu kwa mfano akitolewa kuwa mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!

===
Mistake tu inatakia ianze CDF--->DGTS--> IGP--->CGP-->CGF
Ukiangalia Protokali ya ukaaji wao katika hafla mbalimbali huwa anaanza CDF, IGP ndo anafata DG TISS.
Kwa mtiririko huo Inawezekana IGP akawa yupo juu ya DG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikalini unaweza kutolewa popote ukapelekwa popote kwa nafasi yoyote. Kitu muhimu ni kuwa mshahara wako hautashushwa hata kama ulikuwa IGP kisha ukapelekwa kuwa mkuu wa Zimamoto.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeisoma PDF ya TISS au na wewe una mahaba na hicho kikosi maalum kinachomlinda Rais
TISS haipo Ikulu ipo Tanzania nzima na ninaye shemeji yangu wa kike kapewa Wilaya.
Hawa Intelijensia wana kazi nyingi na imeainishwa watakuwa chini ya Waziri wa Mambo ya Ndani, kwa masurufu, uwajibikaji nk, ingawa kuna Member kasema wamehamishiwa kwa Mkuchika (Utumishi na Utawala Bora) ambapo hata January Makamba na Simbachawene wizara yao ilihamishiwa kwa Makamu, hata TAMISEMI ya Mh Jaffo ilikuwa kwa Waziri Mku sasa ipo kwa Rais ni mabadiliko tu ya maamuzi ya Rais
Jeshini kuna kitengo cha Makomandoo, MPs basi mkiwaona hao ndio Jeshi lenyewe kuwa litapiga vita peke yake? maana umefananisha na CIA na M16
Walinzi wa Rais ni kitengo kilichopo TISS Magogoni nk lkn kila Wilaya TISS wapo
MY TAKE
Kwenye Mada inaulizia kutoka Ukurugenzi wa TISS kwenda IGP imekaaje - mm nasema ni kupanda Cheo
Mkurugenzi ana cheo cha chini ya IGP (Sirro na Mangu wapo sawa kwa sasa hapa Nchini
lkn Diwani Msuya yupo Chini mpaka apandishwe / kuvishwa beji na Rais) angalia hapo IGP ana mikasi, Ngao na Bibi & Bw wakati Diwani hana Mikasi
 
Mkuu swali la UELEWA TU
Je Augustino Lyattonga Mrema alipokuwa Ngazi ya Wilaya UWT (TISS) mpaka akapelekwa akazifanye kazi zake CCM Makao makuu alishawahi kuwa Magogoni au Chamwino. je alishawahi kuvaa magwanda na hizo earphone zao kumsindikiza kiongozi

TISS ni Taasisi kubwa, km Jeshini unapokuta Karani Komandoo Mpishi Infantry, MP nk
kuna taarifa zinakusanywa kiaina kupitia mitandao yetu mpaka majumbani na Bar ili kupatta taarifa zinazohatarisha Usalama au upepo wa utawala wa Mtawala ndio kazi yao sio kukaa Ikulu
 
Ukwaju,
Mbona unanilisha maneno, wapi nimesema TISS iko ikulu inamlinda rais?? Uwe unaelewa basi ukielekezwa, nimesema TISS haiwezi kuwa chini ya wizara ya mambo ya ndani kwa sababu:-

Wizara ya mambo ya ndani kama inavyoitwa inahusika na mambo ya ndani ya nchi, ie usalama.. TISS inafanya kazi za usalama wa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,

Nimekupa mifano ya CIA na MI6 kuwa hvyo no vitengo vinavyosimamia intelijensia za kimataifa tu. Kwa sababu kuna vyombo vinavyohusika na usalama wa ndani kwenye nchi zao ie. FBI, MI5 no

Tofauti na hizo nchi Tz tuna chombo kimoja (TISS) ambacho kinachohusika na usalama wa nje ya mipaka na wa ndani ya mipaka

Kwa hyo TISS haiwezi kuwa chini ya wizara ya mambo ya ndani kwa sababu kazi zake zinavuka nje ya mipaka ya Tanzania.

Sasa usilete habari zako za shemeji yako wa kike aliyepewa wilaya
 
Mkuu wa jeshi la kujenga Taifa Jkt mbona hujamuweka hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…