Hii Nchi, inaumizwa Kwa kua na Rais wajinga, wapumbavu namna ya Mtoa Uzi Huu.
Hivi Kwa Kazi nzuri anayoonyesha Paul Makonda, Ukiondoa mapungufu yake ambaye hata wewe unayo.
Unapata wapi Gut za kumcheka na kumponda Mh Paul Makonda?.
Ziara zake alizofanya, Kuonyesha Wananchi wanataka nn, kuonyesha mashimo yote ya upigaji ,uvivu, Uzembe ,ufisadi, kutokuwajibika, Uonevu , kuchelewesha Kwa miradi , n.k , Kwa Uwezo wake, Changamoto zilizokua mikononi mwake, akafanikiwa kuzitatua hapo hapo, nyingine akazipeleka panapotakiwa.
Utamwambia nn, Mama ambaye alikua akizungushwa, akiliwa Pesa zake ,akionewa kisa wahuni fulan tu wa Ardhi?.
Vipi kuhusu waloonewa na Polis ?.
Vipi wale ambao ilionekana mahakama waziwazi kabisa, imewanyima haki zao?.
Vipi wale waloonewa na Watumishi wa Halmashauri ?.
Paul Makonda Kwa muda wake mfupi, alifanya CHAMA kikaaminika ghafla, Paul Makonda Kwa muda wake, alifanya Watumishi wa Halmashauri nyingi Nchini kuanza kubadilika na kuchukua hatua , Kila Halmashauri ilipopata Taarifa za ujio wa Makonda, wakifanya kazi usiku na mchana bila kulala .
Na Matokeo yakaonekana.
Watanzania, kama tutaendelea na akili za kipumbavu namna hiii, hautakaa kupiga hatua yoyote.
Nchi Sasa umerudi mikononi mwa Matajiri Akina GSM, Familia za JK ,Makamba ..hivi kweli watu Hawa wachache , ndio ambao wanatoa Dira ya Taifa lenye watu million 60?? Na bado mnacheka kindezi kindezi??.
Tulikua na HAYATI JPM, alojitoa Maisha yake , mud wake mfupi aloishi, ukatosha kutuonyesha ni kitu gan tulikosa.
Akafariki, Wajinga wakacheka, Sasa kinachoendelea Leo, kimewafanya mmkumbuke.
Fikra za ukombozi, kwakua hazifi, Leo tunao Akina PAUL MAKONDA... badala ya kuwaunga mkono, nasisi tunaburuzwa na wpaumbavu wachache, wazandiki na mafisadi kiasi Cha kua wasaliti Kwa watu wa aina ya Makonda.
Leo hii, Jerry Silaa, anapambana kuhakikisha Migogoro ya Ardhi inaishia..ila naye tayari nmeanza kumtengenezea Zengwe la kufa mtu.
Mnataka nini?.