Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

Sisi hatujui, ila tukiweka yote kando, aliyemshauri Mwenyekiti amtoe Makonda kwenye uenezi hamtakii mema Mwenyekiti.

Wakati mwingine watu wanaweza kukushauri ili wakupoteze, Makonda na madhaifu yake yote, uenezi na propaganda anaiweza.
ni kweli mzee
 
Haya maisha bado yapo tu?
 
Mzee si uandike tu kiswahili? kizungu kingi halafu broken
wao ndiyo majasusi/jeshi la akiba la rais/washauri katika mambo mengi huenda wamemshauri jambo hilo ila makonda angeirudisha ccm masikioni but ilionekana kama jamaa anafaidika yeye mwenyewe badala ya rais.
 
Sisi hatujui, ila tukiweka yote kando, aliyemshauri Mwenyekiti amtoe Makonda kwenye uenezi hamtakii mema Mwenyekiti.

Wakati mwingine watu wanaweza kukushauri ili wakupoteze, Makonda na madhaifu yake yote, uenezi na propaganda anaiweza.
Tatizo msoga remote! Samia hajui CCM ina ugumu gani mtaani! Anaamini kila neno atavuna mabua! Eti Makala mwenezi kichwa cha mwenda wazimu!
 
Hizo ni minor tools,ila dola inatusaidia kushinda. Rejea ushaguzi wa mitaa 2019 na ule mkuu 2020. Umeelewa?
ni kweli dola ni nguvu ila ili kuibakisha ni propaganda pamoja na nguvu.
 
Makonda hata akiwa DC tu anaweza kukitumia cheo hicho na kukikuza kwa namna ambayo watu hawakujua inawezekana. Utaona mbwembwe zake huko Arusha.

Wale vijana wahuni wa chugga wajiandae kisaikolojia.
 
Mzee si uandike tu kiswahili? kizungu kingi halafu broken
Yaani wakati nchi zingine zikipiga hatua kimaendeleo na kidemokrasia sisi tunarudi nyuma kwa kuwa na wapumbavu kama wewe,Senegalese wamepata young man mwenye mawazo mapya sisi bado tuna recycle uchafu ule ule wa akina migiro,ndejemis,Makonda etc etc,watch the space now,by this June SA itakua na coalitions government!!,uhuru mkubwa kwa raia wake,wewe bado unalalama na queen's language
 
Ameajiriwa kama katibu wa itikadi mwaka ulopita lakini hajavuka hata miezi 6 katenguliwa japo hatujajua dhumuni la CCM/TISS/Mama labda kumuandalia nafasi kubwa zaidi au ni kama punishment kwa kauli zake za kila siku za kutotaka watu wasimuongelee mabaya Hayati.
Alisema watu wasimtenganishe Samia na magufuli. Wakati hataki kufananishwa na magufuli.
 
Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa.

Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi

Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili.

Waliokupeleka huko wanafahamu kwamba ikizingua watakinukisha na wewe automatically utakosa wakisimama naye. Hakuna msimamo tena ndani ya chama kuna misimamo.

Arusha to Singida then bench
Nafikiri alipokua benchi kabisa 2021 ndio lilikua anguko lakini hivi sasa kila baada ya lisaa anapokea simu toka ikulu kujua usalama wa wananchi na mipaka ya mkoa bado yeye hajaanguka walioanguka ni hawa wenye kumjadili muda wote kenge ni kenge wala hawawezi kua mijusi lao ni moja!
 
Kila familia Arusha ina kiumbe aliyesoma, hakuna tena familia tegemezi kwa serikali
 
Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa.

Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi

Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili.

Waliokupeleka huko wanafahamu kwamba ikizingua watakinukisha na wewe automatically utakosa wakisimama naye. Hakuna msimamo tena ndani ya chama kuna misimamo.

Arusha to Singida then bench
Mbona unateseka? Kulikoni?
 
Tatizo msoga remote! Samia hajui CCM ina ugumu gani mtaani! Anaamini kila neno atavuna mabua! Eti Makala mwenezi kichwa cha mwenda wazimu!
Kama kuna mtu mmoja muaminifu kwa Samia ndani ya CCM ukiacha watoto wake basi ni Makonda!

Makonda alikuwa tayari ameanza kuirudisha CCM iliyokuwa imepooza, kwa propaganda zake tayari watu walishaanza kuona 'umagufuli' ukirejea. Ukifanya uchunguzi nje ya hii mitandao, Makonda anakubalika sana na watu, wale ambao sio wa mitandaoni, ambao mara nyingi ndio wapiga kura wasiochoka.

Najua aliyemtengua ana vyombo vingi vya kumpa habari kuliko mimi, ila natamani kusema kama ameshauriwa kumtoa hapo uenezi basi aliyemshauri amempotosha na hamtakii mema kama anayo nia hiyo 2025!

Kuhusu Makala, sijui kama kuna sehemu amewekwa akafaa.
 
Back
Top Bottom