Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
ni kweli mzee
Sisi hatujui, ila tukiweka yote kando, aliyemshauri Mwenyekiti amtoe Makonda kwenye uenezi hamtakii mema Mwenyekiti.
Wakati mwingine watu wanaweza kukushauri ili wakupoteze, Makonda na madhaifu yake yote, uenezi na propaganda anaiweza.
Haya maisha bado yapo tu?
Sisi hatujui, ila tukiweka yote kando, aliyemshauri Mwenyekiti amtoe Makonda kwenye uenezi hamtakii mema Mwenyekiti.
Wakati mwingine watu wanaweza kukushauri ili wakupoteze, Makonda na madhaifu yake yote, uenezi na propaganda anaiweza.
wao ndiyo majasusi/jeshi la akiba la rais/washauri katika mambo mengi huenda wamemshauri jambo hilo ila makonda angeirudisha ccm masikioni but ilionekana kama jamaa anafaidika yeye mwenyewe badala ya rais.Mzee si uandike tu kiswahili? kizungu kingi halafu broken
CCM haitegemei propaganda ili ishinde. Tunatumia nguvu ya dola kushinda
Sisi hatujui, ila tukiweka yote kando, aliyemshauri Mwenyekiti amtoe Makonda kwenye uenezi hamtakii mema Mwenyekiti.
Wakati mwingine watu wanaweza kukushauri ili wakupoteze, Makonda na madhaifu yake yote, uenezi na propaganda anaiweza.
Tatizo msoga remote! Samia hajui CCM ina ugumu gani mtaani! Anaamini kila neno atavuna mabua! Eti Makala mwenezi kichwa cha mwenda wazimu!

hutumia njia ya propaganda kudhaoofisha au kurahisisha jamboCCM haitegemei propaganda ili ishinde. Tunatumia nguvu ya dola kushinda
Ila kapigwa chini si ndio ?Hata uandike nyuzi 100 huwezi kufikia Maisha ya Makonda!
Hizo ni minor tools,ila dola inatusaidia kushinda. Rejea ushaguzi wa mitaa 2019 na ule mkuu 2020. Umeelewa?hutumia njia ya propaganda kudhaoofisha au kurahisisha jambo
Acha upumbavu,grammar yangu ni ya UCTMzee si uandike tu kiswahili? kizungu kingi halafu broken
ni kweli dola ni nguvu ila ili kuibakisha ni propaganda pamoja na nguvu.Hizo ni minor tools,ila dola inatusaidia kushinda. Rejea ushaguzi wa mitaa 2019 na ule mkuu 2020. Umeelewa?
Vibe la Makonda hakuna yeyote CCM anaweza kumfikia kwa sasa! Subiria mikutani yao ulinganishe na ya Makonda! Labda anaweza kubaki na Uenezi na Ukuu wa mkoa!ni kweli dola ni nguvu ila ili kuibakisha ni propaganda pamoja na nguvu.
Yaani wakati nchi zingine zikipiga hatua kimaendeleo na kidemokrasia sisi tunarudi nyuma kwa kuwa na wapumbavu kama wewe,Senegalese wamepata young man mwenye mawazo mapya sisi bado tuna recycle uchafu ule ule wa akina migiro,ndejemis,Makonda etc etc,watch the space now,by this June SA itakua na coalitions government!!,uhuru mkubwa kwa raia wake,wewe bado unalalama na queen's languageMzee si uandike tu kiswahili? kizungu kingi halafu broken
Alisema watu wasimtenganishe Samia na magufuli. Wakati hataki kufananishwa na magufuli.Ameajiriwa kama katibu wa itikadi mwaka ulopita lakini hajavuka hata miezi 6 katenguliwa japo hatujajua dhumuni la CCM/TISS/Mama labda kumuandalia nafasi kubwa zaidi au ni kama punishment kwa kauli zake za kila siku za kutotaka watu wasimuongelee mabaya Hayati.
Nafikiri alipokua benchi kabisa 2021 ndio lilikua anguko lakini hivi sasa kila baada ya lisaa anapokea simu toka ikulu kujua usalama wa wananchi na mipaka ya mkoa bado yeye hajaanguka walioanguka ni hawa wenye kumjadili muda wote kenge ni kenge wala hawawezi kua mijusi lao ni moja!Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa.
Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi
Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili.
Waliokupeleka huko wanafahamu kwamba ikizingua watakinukisha na wewe automatically utakosa wakisimama naye. Hakuna msimamo tena ndani ya chama kuna misimamo.
Arusha to Singida then bench
Mbona unateseka? Kulikoni?Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa.
Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi
Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili.
Waliokupeleka huko wanafahamu kwamba ikizingua watakinukisha na wewe automatically utakosa wakisimama naye. Hakuna msimamo tena ndani ya chama kuna misimamo.
Arusha to Singida then bench
Tatizo msoga remote! Samia hajui CCM ina ugumu gani mtaani! Anaamini kila neno atavuna mabua! Eti Makala mwenezi kichwa cha mwenda wazimu!
CCM hatutegemei kura zenu kushinda. Sawa?Tatizo msoga remote! Samia hajui CCM ina ugumu gani mtaani! Anaamini kila neno atavuna mabua! Eti Makala mwenezi kichwa cha mwenda wazimu!