Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Mimi ni injinia na kazi zangu nyingi nafanya kwa "kuclick maus ya kompyuta"....Hapo unasemaje? bado una amini siwezi ingiza pesa kwa kuclick mouse ya computer?
Ata mimi pia ni IT Specialist na miaka 20 na kitu sasa na click Maus.Tatizo ni hili la kudownload mahela kwa Computer ndo linanipa shaka
 
Wanaume wa jf wanashobokeaga vitu sana.kuna mmoja aliniambia anilipie training ya forex nikamwambia nimpe mtaji nikauze nyanya .akaniona fala.hajawai kupata hata mia anajilaumu sasa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] wanajifanya wajanja sana ila wanaliwa kiulainiii
 
Si dhambi kuwa na mawazo hasi na mtu ila ni vizuri zaidi tena zaidi kuwa na mawazo yasiyo hasi kwa mtu.

Pamoja saana ONTARIO.
Kaka rudisha ila avatar Kwanza........[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Unauwakika na maneno yako?au ndio ujasiri wa nyuma ya keyboard [emoji446] zako tu hapo. Siku zote tumewambia kua kuna mtu yyte mwenye RB ya police [emoji61] ju yake? Hakuna hata mmoja kajitokeza sasa shutma zidi yake haziwezi kuifaya JF ifanye ubaguzi.
Mwisho wa siku tukagundua kua wewe na genge lako ni washindani wa ki biznes tu hamna hoja za mashiko kabisa ju ya ONTARIO.
kwa kumalizia tujadili bandiko hili mkuu.
 
Ata mimi pia ni IT Specialist na miaka 20 na kitu sasa na click Maus.Tatizo ni hili la kudownload mahela kwa Computer ndo linanipa shaka
Kama hujui kitu haimaanishi hicho kitu hakipo, sasa na mwingine anaweza kukuona tapeli kwa sababu una click mausi kwa miaka ishirini je na yeye atakua sahihi??

Moja ya sifa za mtu wa IT ni kuwa msomaji, mtu anayejifunza na mfuatiliaji wa mambo, je wewe kama mtu wa IT na kama kweli ni mfuatiliaji kwanini usinge google hiyo forex ili utoe hayo mashaka yako??

Au wewe ni wale IT wa kibongo mmnao jua php,html,css mliyojifunza chuoni mkazani hamna kingine cha kujifunza zaidi ya ulivyosoma chuoni?
 
Mimi ni injinia na kazi zangu nyingi nafanya kwa "kuclick maus ya kompyuta"....Hapo unasemaje? bado una amini siwezi ingiza pesa kwa kuclick mouse ya computer?
Halafu unadownload nyumba, madaraja nakadhalika na kuvipeleka site vinakuwa halisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…