President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hiyo haina comebackSema Baba yetu..kwani hujui baba yangu ndio kampa mimba mama yako
Hiyo haina comebackSema Baba yetu..kwani hujui baba yangu ndio kampa mimba mama yako
Hapo sio sehemu ya kutoa ufafanuzi, ufafanuzi upo kwenye Cross Examination Uchaguzi haukuwa na haki kwa asimilia mia moja na walioshinda walishinda kwa sababu ya msukumo wa watu wa kulinda kura na sehemu nyingine ambapo hakukuwa na nguvu ya umma walikuwa wananyongwa haki zao so kushinda kwake hauondoi kuwa Uchaguzi hakuwa na huru na Haki.Muuh Heche mbona kama unataka kutuangusha kaka!
Kwamba ulikubali kutangazwa katika uchaguzi ambao haukuwa wa haki?
Ni kawaida tu, Mvumilieni katuga ni wakati wake wa kuwaonesha mabwana zake kuwa anaupiga mwingi.Katuga, mbona km anatoka nje ya msingi was case, maana anahoji mambo binafsi ya Heche , ndivyo alivyotumwa kuja kuharibu credibility ya heche? Basi amenoaaa.
Watu tuko na Heche hadi kucheeee.
***** tu wwFanya yako na mimi ninafanya yangu
Kama genious Lissu unamuita kichaa na kile kiazi cha zenj utakiitaje?!?!.NI VEMA APIGWE MITI KWANZA LAKINI KABLA YA KUMPIGA KITANZI
MTU KAMA HUYO KICHAA LISU INABIDI AONDOKE DUNIANI BILA CLEAN SHEET KENGE HUYO
Achana na huyu,mlamba viatu!Wewe ni jaji?
Kama kutojifunza napo ni uhaini acha iwe tu 😀Nassoro Katuga: Hebu tukumbushe, LLB Open University ulisoma miezi mingapi?
Heche: Miezi 3.
Nassoro Katuga: Umejifunza...
Heche: Sijajifunza.
Nassoro Katuga: What is law?
Heche: Sijajifunza.
(John Heche sasa ameona amtibue KATUGA)
Kama umemsikia vizuri kakubali Uchaguzi ulikuwa batili japo yeye kashinda tena kwa nguvu ya ummaKwamba uchaguzi kwa Heche uwe wa haki ila kwingine batili...
Haya sawa.
Nipo nyuma yakoNimekaa siti ya mbele tayari kwa kutimiza wajibu wangu wa kuleta Tathimini ya Kisomi
kajibu vizuri sana katoa maelezo sawa na John Mnyika na Lupia na Tundu Lissu mwenyewe so wameiua hoja ya mashtaka ya SerikaliWAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI
SEHEMU YA 5.
Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama Mwenyekiti ambaye ni Tundu Lissu alitaka au hakutaka hotuba yake ya 03 April 2025 iwafikie umma?
Heche: Siwezi kujua.
Nassoro Katuga: Ni kweli au siyo kweli siku hiyo ya 03 April 2025 kuna mambo ya ndani yalifanyika huku waandishi wa habari wakiwa wametolewa?
Heche: Sikumbuki.
Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama Mwenyekiti alikuwa na uwezo au hakuwa na uwezo wa kuwaondoa waandishi wa habari katika mkutano?
Heche: Aliyewaita waandishi wa habari ni Brenda, sasa anaitaje waandishi wa habari?
Nassoro Katuga: Sasa alikuwa na uwezo au hakuwa nao?
Heche: Sijui.
Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama ulishuhudia au kuona Mwenyekiti akilazimishwa kuingia mbele ya waandishi wa habari?
Heche: Sijui.
Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama unafahamu au hufahamu palikuwa na hotuba rasmi au hotuba aliyoandaliwa?
Heche: Sifahamu.
Nassoro Katuga: Ndugu Shahidi, mikutano ya CHADEMA huwa ina hifadhi minutes au haina minutes?
Heche: Kuna mikutano ambayo ni rasmi, vikao vya katiba, warsha na mafunzo.
Nassoro Katuga: Je, kuna minutes?
Heche: Siyo yote.
Nassoro Katuga: Nani alikuwa Mwenyekiti wa mkutano wa tarehe 03 April 2025?
Heche: Haukuwa na Mwenyekiti.
Nassoro Katuga: Nani alikuwa mzungumzaji mkuu wa mkutano?
Heche: Alikuwa Mwenyekiti.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Nampendea Lissu hapa, hichi kichwa Mungu amekibarikia sana, mtu yupo kwenye kifungo ila kichwa kinafanya kazi sawasawa.TUNDU LISSU ANAWAFUNDISHA SHERIA KIDOGO HAPA MAHAKAMANI.
SEHEMU YA 9.
Wakili wa Serikali: Waheshimiwa Majaji, utaratibu tunaofanya ni utaratibu tunaofanya kila siku katika practice, na tunaomba tuendelee na cross-examination, Waheshimiwa.
Jaji: Naomba turejee kwenye kanuni ya cross-examination. Shahidi aendelee kuulizwa maswali ya dodoso.
Lissu: Waheshimiwa Majaji, lakini mimi sijajibu.
Jaji Ndunguru: Heee, wewe ndiyo uli-object?
Lissu: Ndiyo.
Waheshimiwa Majaji, Kifungu cha 164 hakiruhusu kufanya wanachofanya.
Kifungu cha 164 kinazungumzia namna ambavyo shahidi anaweza kuwa cross-examined.
Siyo namna ya kumkumbusha shahidi document yake.
Juu ya kumkumbusha ni Kifungu cha 177, na shahidi mwenyewe ndiyo anayeiombea, siyo Wakili wa Serikali.
Waheshimiwa, vilevile Wakili wa Serikali anasema anaruhusiwa kuuliza swali lolote katika 156(3).
Hoja siyo kuuliza chochote.
Anachoombwa ni kumkumbusha ushahidi under 177.
Kama anataka kukitumia anachotaka kukitumia, lazima atumie 163.
Matumizi ya nyaraka ambazo hazijapokelewa na Mahakama.
Hawawezi kwenda kwenye 164 kwa sababu haizungumzii matumizi ya document.
Anachotaka kukifanya kimekatazwa kabisaaaaa.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Mkuu una wivu wa kike. Lissu aliwahi kukupiga miti wewe bwabwa? FYI Lissu hana time na malaya mchafu mwenye kaswende kama wewe!NI VEMA APIGWE MITI KWANZA LAKINI KABLA YA KUMPIGA KITANZI
MTU KAMA HUYO KICHAA LISU INABIDI AONDOKE DUNIANI BILA CLEAN SHEET KENGE HUYO
Kuna askari mmoja yuko ukonga namjuwa ana kicheoNampendea Lissu hapa, hichi Mungu amekibariki sana, mtu yupo kwenye kifungo ila kichwa inafanya kazi sawasawa.
Sheria tamu sanaTUNDU LISSU ANAWAFUNDISHA SHERIA KIDOGO HAPA MAHAKAMANI.
SEHEMU YA 9.
Wakili wa Serikali: Waheshimiwa Majaji, utaratibu tunaofanya ni utaratibu tunaofanya kila siku katika practice, na tunaomba tuendelee na cross-examination, Waheshimiwa.
Jaji: Naomba turejee kwenye kanuni ya cross-examination. Shahidi aendelee kuulizwa maswali ya dodoso.
Lissu: Waheshimiwa Majaji, lakini mimi sijajibu.
Jaji Ndunguru: Heee, wewe ndiyo uli-object?
Lissu: Ndiyo.
Waheshimiwa Majaji, Kifungu cha 164 hakiruhusu kufanya wanachofanya.
Kifungu cha 164 kinazungumzia namna ambavyo shahidi anaweza kuwa cross-examined.
Siyo namna ya kumkumbusha shahidi document yake.
Juu ya kumkumbusha ni Kifungu cha 177, na shahidi mwenyewe ndiyo anayeiombea, siyo Wakili wa Serikali.
Waheshimiwa, vilevile Wakili wa Serikali anasema anaruhusiwa kuuliza swali lolote katika 156(3).
Hoja siyo kuuliza chochote.
Anachoombwa ni kumkumbusha ushahidi under 177.
Kama anataka kukitumia anachotaka kukitumia, lazima atumie 163.
Matumizi ya nyaraka ambazo hazijapokelewa na Mahakama.
Hawawezi kwenda kwenye 164 kwa sababu haizungumzii matumizi ya document.
Anachotaka kukifanya kimekatazwa kabisaaaaa.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Wapo sawa, huyu ni hazina ya taifaKuna askari mmoja yuko ukonga namjuwa ana kicheo
Wenyewe tu wanakuambia wakimuona lissu wanajisikia faraja
Ova