Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

Unaweza nisaidia nielewe kidogo binti kiziwi

Jamuhuri walishamaliza kutoa ushahidi,

izi ma videos katuga analeta tangu jana na Bank statements si ni kama vile ushahidi mpya ?πŸ™„

wanaruhusiwa kuleta ushahidi mpya kesi ipo kwenye progress?
 
Katuga anatawala dimba la kati
 
Kwa hiyo Lissu na Heche wanaiogopa hiyo document? Kwa hiyo anajua kabisa kuwa maneno aliyoyasema ni makosa na ndo sababu hawataki wakumbushwe. Kosa lipo ila wanacheza na sheri kuzuia isiwasilishwe.
Sitaki kabisa wanangu wasome sheria
 
Hakukataa kushinda maana alishinda kweli, lakini ilitumika nguvu ya umma kuhakikisha anatangazwa, hapo ndio tatizo lilipo. Kwanini itumike nguvu badala ya kuheshimi matokeo ya kweli ya box la kura?
Kwahiyo baada ya kutumika nguvu ya umma ndio ukawa Uchaguzi Huru na Haki? Ahahahahaha!
 
Hizi ngonjera za mahakama sio ajabu mtu asie na hatia akafungwa maana kuna janja janja za maswali na majibu kama hii ndio maana ya demokrasia bora isiwepo
Mkuu relax hayo maswali na majibu ndivo mahakama zote wanavoulizana ili kupata wanachoshtakiana.
Mahakama haipo kama siasa.
Wacha wasumbuane sisi mwishoni tutajua hukumu.
 

Duuuh mbona hatarii kabisaa, yaan mie najiona hapo ningeishia kuwachamba toka mawakili hadi majaji wenyewe, siwezi vumilia upuuzi.
 
Mkuu relax hayo maswali na majibu ndivo mahakama zote wanavoulizana ili kupata wanachoshtakiana.
Mahakama haipo kama siasa.
Wacha wasumbuane sisi mwishoni tutajua hukumu.
Ni mitego ya maswali hamna la maana kwa shahid in fact wanacheza na maneno ukishindwa kimekulamba hapa mjanja ndio mshindi na inaweza kuwa mwenye haki akashindwa
 
Duuuh mbona hatarii kabisaa, yaan mie najiona hapo ningeishia kuwachamba toka mawakili hadi majaji wenyewe, siwezi vumilia upuuzi.
Kuna adhabu za kuwachamba 🀣 (kuleta fujo)

Ndio maana katuga anasisitiza mahakama sio mama yako, na wenyewe wanamjibu sio mama yako pia.

Mahakamani nyie pasikieni tu (Mashahidi wa Lissu wamefanya kazi kubwa, considering walikuwa wanasubiriwa kwa hamu) Lissu mwenyewe huwa anawatania mashahidi wake kuwa mnaliona lile jopo pale? linawasubiri kwa hamu πŸ˜€
 
Rafiki wanaojua mambo ya mahakama na sheria watakuja kukupa muongozo, binafsi nafatilia kesi na kujifunza kama wewe, Japo nafahamu clue chache zile generic

Aione Chivundu
 
Ngoja Lissu awanyooshe kmmamae zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…