Kutoka Maktaba: Profesa Assad akisifia mradi wa Bwawa la Nyerere

Kutoka Maktaba: Profesa Assad akisifia mradi wa Bwawa la Nyerere

Kwani kuna sehemu kauponda boss?
 
Mbona soni tatizo juu ya alichokizungumza kipindi hicho na anachozungumza kwa sasa?

Asadi hajapinga Mradi wa umeme bali anapinga ununuzi wa ndege pasipo mipango
 
Ina maana CAG Kichere hakusoma makabrasha?
mbona mwenzake anajua hadi ni phases zinazotakiwa z mradi.
Kwani kakosea wapi Kichere, yeye kasema umetumia feasibility study ya zamani kama ni uongo wapinge tu waseme kuwa walifanya feasibility atudy mpya.
Kwanj mkuu nikisema hii nyumba yako umeinenga kwa ramani ya mwaka 1990 na ikawa kweli kunakuwa kuna kosa?
Na vipi Assad kwenye mazungumzo yake ya leo kuna sehemu ameponda ujenzi wa hilo bwawa. Penye kusifu asifiwe penye kupondwa apondwe mwendazake. Siyo kwamba kila anayemsifu anampenda kwa yote na siyo kwamba kila anayemponda anamchukia kwa yote.
 
CAG aliyemtangulia aliona upembuzi na akaridhika
 
Wasomi wa Udsm ni vinyonga.

Unawakumbuka akina Palamagamba Bashiru, Mwigullu Ryoba Kitila nk nk

Na wadogo zao akina Waitara Silinde Zitto, Mdee, Lisu, Matiko nk nk

Yaani ni full ubabaishaji!
Umemsahau Magufuli
 
Mbona soni tatizo juu ya alichokizungumza kipindi hicho na anachozungumza kwa sasa?

Asadi hajapinga Mradi wa umeme bali anapinga ununuzi wa ndege pasipo mipango
kuna clip yake ya kukana kupewa taarifa za mradi huo.
 
CAG aliyemtangulia aliona upembuzi na akaridhika
Kwani mkuu si kasema limetumia feasibility study ya mwaka huo alioutaja au kadanganya?
Mimi kwa upande wangu mradi huo naukubali, na ningetamani miradi yote ya madaraja, SGR imalizike.
Haya mambo yakuelekeza miradi iliyokwishaanza kama walivyotelekeza ya majengo ya NSSF kigamboni yanalitia taifa hasara sana.
Kama kuna upigaji ukomeshwe miradi imalizike.
ATCL warekebishe kasoro waone ni jinsi gani shirika linaweza kujiendesha kibiashara na kwa faida.
Mradi wa bandaro ya bagamoyo Ndugai aliyesema JPM alipotoshwa walete mkataba wataalam wausome wauchambue ijulikane ukweli ni upi, tena uchambuliwe na wataalam siyo hawa wabunge ambao wanabadilika badilika kama kinyonga kama mwenyewe Ndungai maana siyo wa kuwamini, ili tujue ukweli wa mambo kama hautufai tuukatae kama JPM na kama alipotoshwa tujue manufaa yake.
 
kuna clip yake ya kukana kupewa taarifa za mradi huo.
Unaweza kuiweka hapa kama ulivyoweka ya kusifia... Maana mpaka sasa sijaona alipoponda huo mradi. Si kila anayepinga anapinga kila kitu.
 
Maprof hatuna hii nchi!!

Kuna mtu alishawahi kumshirikisha prof swala lake la maendeleo hapa?

Utachelewa Sana aisee!!

Ni watu wa hovyo wale!!!
 
Ila asiponyamaza atalowa taka
Sisi raia tupo wengi kuliko wao. Uzuri kila jambo JPM alikuwa anasema hadharani! Ukitaka kujua wafiwa msibani angalia wanaolia sana!

Waendelee kulia tuwajue maana yupo mwingine anamkana JPM bungeni hadi shetani anamshangaa!
 
Back
Top Bottom