"....TULIKOTOKA NI KARIBU SANA KULIKO TUNAKOKWENDA......" Kwanini???
Samahani ndugu yangu: Umenichekesha sana karibu nipasuke mbavu. Kwanini unauliza majibu?
Hivi hujui kuwa katika "MoU" ya CCM na CHAUMMA ilikuwa na kipengele cha CCM kuwaachia majimbo CHAUBWABWA?
Viongozi wa cha CHAUBWABWA walipotakiwa kupendekeza majimbo ya kuachiwa walipendekeza hayo ya wake zao. Basi kuachiwa majimbo ndo kumeishia hapo na siyo CHAUBWABWA kuachiwa majimbo kama chama bali ni wao kama familia.
Kama makubaliano yangekuwa ni yale ya kuachiwa majimbo kama chama wake zao wangegombea ktk majimbo hayo kama wanachama wa CHAUBWABWA. Lakini kwa sababu CCM ni wajanja na watu wasiopenda kupoteza hata robo ya jimbo kwa upinzani ndo waliweka kipengele kinachowabana CHAUBWABWA kuwapendekeza wake zao kugombea kama wanachama wa CCM.
Bahati mbaya hao vijana wa CHAUBWABWA hawakumshauri hata "Chair" wao na yeye aweke mke wake ili aachiwe jimbo kama mwanachama wa CCM. Yeye (Chair) anasubiri masufuria ya ubwabwa. Kwake mzee wa watu akipewa pilau yenye nyama za kutosha basi atakuwa ameridhika. Maskini mzee wa watu hana zaidi ya hapo!!
Samahani au "Chair" wao ndo kaachiwa "Hon. Europe" wa Bunda mjini? Nauliza hivyo ili nijue "Mh. Europe" ni mali ya nani kati ya wale vigogo wa CHAUBWABWA!!! Kwa ufupi 'mission' ya kuachiwa majimbo kwa mujibu wa "MoU" ndo imekamilika kwa namna hiyo.
Hakuna cha CHAUBWABWA kupewa wabunge bali ni CHAUBWABWA kupewa wabunge kupitia CCM kama familia.
Baada ya UCHAFUZI wa 2025, CHAUBWABWA itakufa na kuzikwa kwa heshima zote. Mzee wa ubwabwa atabaki na masufuria yake matupu ... na waume watawafuata wake zao huko CCM.....
Kama mnadhani nadanganya waulize makamanda wa CHAUBWABWA Segerea/ Kinyerezi walioamua siku ya leo kurejea CDM ....Kwaherini jamani naomba mtafakari sana....