Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa.
Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!.
Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine Jama alikua Kwa Mahusiano ambayo bado Demu alikua na Option nyingine !!.
Hivi inakuaje Mwanaume unapiga Goti kumvisha Pete mwanamke ??
Kua Mwanaume kiasi kwamba Demu akuulize Baby utaniona lini? Baby nahitaji kua Mama watoto wako
Kua Mwanaume kiasi kwamba Ukimtangazia Ndoa Demu wako, apige simu Kwa Mama yake, Baba yake, Ndugu, rafiki jamaa, kua Mchumba wangu kanivisha Pete na Sasa ananioa.
Mwisho, acheni kuweka Maisha ya Mapenzi / Ndoa mitandaoni, mtaendelea kutombewaa.