Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

Nikimkuta bikra au yupo below 23 naweza ungana na wewe huyo anajitambua ila kitu 26+ wahuni wamemtumia vya kutosha. Tuna mwezi mmoja tu au miwili toka tufahamiane ila kushinikiza nikajitambulishe kwao na kuhamasisha ndoa kila muda hapo jiandae kupigwa.
 
Yaani anakuona wa maana hivi sasa, baada ya msela kuachana nae au mkuu ulike-eep intouch nae huyu manzi hadi ndio maana sasa anamani awe na wewe?
Siku-keep in touch kivile, ila namba yake sikuifuta. Hivyo ikawa akipost status naziona na mm status zangu za whatsapp anaziona. Kuna wakati akiwa amefulia ananitext anaomba 10k namrushia maisha yanaenda.
 
We kama una lishe mbovu ni wewe
 
Yaani unajenga uhusiano na binti anayetaka kuolewa, halafu anakuuliza kama una mpango wa kumuoa, wewe unashangaa nini? Wewe unachukia nini?

Kama lengo lako ni kula mzigo tu, kwanini usiende kuchukua malaya wanaojiuza ambao mtaongea lugha moja nao?
Tatizo unaulizwa mara kwa mara
 
Hii ndio nimeanza kusikia kwako, kuhusu nguvu za kiume ni kula chakula kizuri na mazoezi ya kutosha.
 
Ni hatari, Hapo alienda kutumika huko kishwa akatupwa ikabidi arudi kwako
 
Kumbe ni lisingo maza, bora ulivyoliacha tu, maana hilo ni ka kupiga miti tu, kuolewa likaolewe na aliyelizazilisha.
 
Ni kero sana,unakuta kakaa na msela miaka mitatu,chuo,tena walipanga chumba kimoja,na hajamuoa,ila mimi kudate nae miezi miwili anataka ndoa,na wala hata kwangu hajawahi kulala hata siku mbili,anakujaga na kusepa.
Hataki kurudia makosa. Kama kakaa miaka 3 na kumpa mwanaume kila kitu na hakumuoa kwanini arudie tena kufanya hivyo ilihali anataka kuolewa?
 
Mimi anachonikera tukiwa kitandani tunasex muda wa kupumzika kutafuta round inayofuata ndio anaanza "utanioa lini?" "Lini utakuja kujitambulisha kwetu?"

Huwa ananikata stimu sana huyu manzi age yake 33 ana wasiwasi sana umri sio rafiki
Age 33 unategemea kama anahitaji kuolewa asiulize hayo maswali? Binafsi naona kama kijana huna malengo ya ndoa fanya ngono na binti asiye na malengo ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…