Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hakika mkuu huyu umri umemtupa mkono. Kaniganda sio poaDuh sema huyo mwendo ameumaliza 33yrs! Ni masikitiko kwakweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu huyu umri umemtupa mkono. Kaniganda sio poaDuh sema huyo mwendo ameumaliza 33yrs! Ni masikitiko kwakweli.
Sina mpango wa kuzaa ovyo na hata ikitokea nitawajibika na malezi ya huyo mtoto hata nisipo elewana na huyo mwanamke.Una mpango wa kuwazaa hovyo bila kujali ni mwanamke gani unamzalisha?
Umri wake ndo unaompa wenge, ila naye kachelewa Sana jamaniMimi anachonikera tukiwa kitandani tunasex muda wa kupumzika kutafuta round inayofuata ndio anaanza "utanioa lini?" "Lini utakuja kujitambulisha kwetu?"
Huwa ananikata stimu sana huyu manzi age yake 33 ana wasiwasi sana umri sio rafiki
Umenena Kweli kbsa mkuuWanawake wa siku hizi hawajui kumvutia mwanaume wa matendo yake,wengi wanaamini uzuri ndio kila kitu.
Wengi wanapenda hela na kusahau utu, wengi hawana nidhamu ya hela wanayopewa,wengi hawajui kuitunza hata hela wanayopewa na wengi wana bond zisizo vunjika na maex wao ambao hawa kuwapa thamani.
Mvutie mwanaume kwa matendo yako,ubinadamu na utu na kwa kuwa atleast na hofu ya Mungu na siku zote ukitaka kujua tabia ya mwanamke yoyote unayetaka kumuoa, husimbane sana mpe uhuru utakuonyesha tabia zake zote tena ndani ya kipindi kifupi.
Kachelewa sana.Umri wake ndo unaompa wenge, ila naye kachelewa Sana jamani
Kwenye list yako@mzabzab ndio kiboko yao😂Mzee wa kupambania mkali wa hizi kazi, Mimi shabiki yako kutoka Temeke hakika umesomeka vilivyo pia salami zangu azipate mzabzab Pamoja na National Anthem
Sawa sawa mbona husemi ninywe soda Kwa mangi 😀Umeupiga mwingi sana hapa
Anao wanaume wengi anabahatisha yupi atamuoaNa kwanini usimuoe Mkuu kuliko kumchezea mtoto wa watu hapo anahofia kupotezewa muda ndomana anakuuliza Kila saa anataka assurance
Nami pia niko gudNikopoa vipi wew
Kuna wadada Wana over 30 na hawana hizi habari wala pressure ya ndoa huyo ni tabia yake tu sio umriWanaokua na presha za kuolewa ukichunguza kwa umakini utagundua ni umri umeenda halafu maEx wake karibia wote wameoa au wana familia zinazoeleweka.
Kwahiyo anatamani ndoa ya fasta fasta ili awaringishie mabwana zake na mashosti kua hajachuja ingawa walimuona yupo fungu la kukosa.
Hawa wa namna hii ndio wakishaizoea ndoa wanaanza kujirudisha kwa maEx taratibu kwa chatting za wizi wizi na mwisho wa siku wanarudisha mapenzi katika machaka yao ya zamani. Inakua kama umeoa mke asiyekua wako tu.
Una akili mingi.Sina mpango wa kuzaa ovyo na hata ikitokea nitawajibika na malezi ya huyo mtoto hata nisipo elewana na huyo mwanamke.
Safi kabisaNami pia niko gud
Weekend inaendaje?
Nimeona comment yako hapo juu hakika umeupiga mwingiNikopoa vipi wew
Hahha shukrani sanaNimeona comment yako hapo juu hakika umeupiga mwingi
Kama uliniona!! Kuna binti mmoja wa kihaya alikuwa ananinyima mbususu sana kwa visingizio vya kutomujibiwa maswali yake, kama lini utakuja kwetu?, lini utaniunganisha na ndugu zako tufahamiane!? Kalikuwa kananiboa na maswali yake hadi kero!?Hii kitu ni balaa sana,
Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho,
Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?" n.k. Hata kama ulikua kuna mambo unaweka sawa kwanza ili umuoe unaweza kughairi tu.
Kunyimwa penzi kwa kuona kama unamchezea ni jambo la kawaida. Ukipewa basi inabidi ujihadhari, usipotegeshewa mimba basi utabambikiwa ilimradi apate cha kukushikilia.
Mbaya zaidi unakuta alishatumika balaa, speedmeter inasoma kilometa za kutosha.
Kwa hili wanawake mbadilike mjue tu ukiweka presha kubwa ya kupata kitu ndio unakikosa kabisa.
Ni balaa sanaKama uliniona!! Kuna binti mmoja wa kihaya alikuwa ananinyima mbususu sana kwa visingizio vya kutomujibiwa maswali yake, kama lini utakuja kwetu?, lini utaniunganisha na ndugu zako tufahamiane!? Kalikuwa kananiboa na maswali yake hadi kero!?