TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

ndio yale tunayasema kila siku ukiwa na matendo yasiyo mpendeza Mungu basi mungu atakushughulikia kwa njia zake, either magonjwa au mauti.

mifano ya hasira za mungu ipo mingi tu, kwa mfano; watu wa sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa kuwashushia garika.

Binaadamu badilikeni, vinginevyo tutakabiliana na hasira za Mungu mwenyewe.
Wachungaji,Masheikh na viongozi mbalimbali wa kiimani tunaowaamini wanapotangulia mbele za haki wao pia huwa ni kushughulikiwa na Mungu ?
 
Sijakataa.
Kwani kufa ni adhabu kwa wanaotenda mabaya? Kwamba wasiotenda mabaya hawafi? Nilitaka kufahamu hilo
Mbele za Mungu kuna wakati kifo kinatumika kama adhabu kwa binaadamu wenye matendo maovu na yenye kumchukiza, mfano huo unaupata kwa kilicho watokea sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa matendo yao ya kuchukiza.
 
ndio yale tunayasema kila siku ukiwa na matendo yasiyo mpendeza Mungu basi mungu atakushughulikia kwa njia zake, either magonjwa au mauti.

mifano ya hasira za mungu ipo mingi tu, kwa mfano; watu wa sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa kuwashushia garika.

Binaadamu badilikeni, vinginevyo tutakabiliana na hasira za Mungu mwenyewe.
Ina maana watu wote wagonjwa inakuwa ni kwasababu walifanya matendo ambayo hayakumpendeza Mungu? [emoji848]
 
Mbele za Mungu kuna wakati kifo kinatumika kama adhabu kwa binaadamu wenye matendo maovu na yenye kumchukiza, mfano huo unaupata kwa kilicho watokea sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa matendo yao ya kuchukiza.
Kwahiyo kuna wakati kifo ni adhabu na wakati mwingine ni zawadi?
Nyie watu wa dini bana mnashangaza sana. Okay sawa.
 
Bongo hao [emoji304] mnao kibao na kuna watu wanasupport mpaka kwenye matamasha yao wanawaalika

Ova
mtetezi wao aliye kuwa anajigamba kwa mbwembwe huko Qatari kaanguka uwanjani kafa.
mbwembwe zote kwisha.
hilo ni funzo kwa wanachama wake wote duniani na wenye matendo kama hayo kuwa kazi ya sodoma na gomora haifai. ni chukizo mbele za mungu na adhabu yake ni umauti kama walivyo angamizwa watu wa sodoma na gomora.

Kumbuka jambo moja kuwa; Mungu huwa hachezewi, acha acha.

ni suala la muda tu, hao wabongo wanao fanya ushetani huo balaa lao litawafika.
 
ndio yale tunayasema kila siku ukiwa na matendo yasiyo mpendeza Mungu basi mungu atakushughulikia kwa njia zake, either magonjwa au mauti.

mifano ya hasira za mungu ipo mingi tu, kwa mfano; watu wa sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa kuwashushia garika.

Binaadamu badilikeni, vinginevyo tutakabiliana na hasira za Mungu mwenyewe.
Sitetei matendo maouvu lakini naomba kuuliza,Kwa hiyo nyinyi wenye matendo mazuri hamtokufa? Mbona binadamu tumekuwa na kiburi kiasi cha kuhukumu wengine kisa umauti umewakuta? Vipi wale watoto wadogo wanaokufa wakiwa hata hawajafikisha miaka mitano nao ni Mungu huwa anawashughulikia kwa kuwapa umauti?
 
Grant Wahl aliyekuwa na miaka 48, ni mwandishi wa habari maarufu za kandanda nchini Marekani alianguka ghafla na kufariki alipokuwa akitazama mchezo wa Argentina na Uholanzi siku ya ijumaa usiku.
Labda walimfanyia kisomo
 
Back
Top Bottom