TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

View attachment 2441785Huyo jamaa pichani ☝🏾 wakati mashindano ya kombe la dunia yanaenda kuanza alionekana akilalamika kuzuiliwa kuingia nchini humo kisa alivaa hiyo tshirt yenye rangi za upinde wa mvua ambazo zimekasimishwa kuunga mkono mtendo ya kuvuragana kati ya binadamu wa jinsia moja.

Grant Wahl aliyekuwa na miaka 48, ni mwandishi wa habari maarufu za kandanda nchini Marekani alianguka ghafla na kufariki alipokuwa akitazama mchezo wa Argentina na Uholanzi siku ya ijumaa usiku.

View attachment 2441793
Taarifa za mwanzo zinaonyesha alipatwa na mshtuko wa moyo, lakini hili bado haijathibitishwa rasmi na wataalam wa kitabibu.

NB: Pamoja na taarifa rasmi za kitabibu kutothibitisha binafsi najua huyo jamaa kapumzishwa not otherwise.
Kisha kandamizwa kipapai
 
Hawa wa kibongo mbona mnashindwa kuwaondoa? Maneno yenu na vitendo vyenu ni zero kabisa. Ndio maana huwa naona kama nyie ndo wadau/wateja wakubwa wa hao watu.
Wanajiita mamende..mtu yoyote anayefanya sex kinyume na maumbile ni shoga.

#MaendeleoHayanaChama
 
ndio yale tunayasema kila siku ukiwa na matendo yasiyo mpendeza Mungu basi mungu atakushughulikia kwa njia zake, either magonjwa au mauti.

mifano ya hasira za mungu ipo mingi tu, kwa mfano; watu wa sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa kuwashushia garika.

Binaadamu badilikeni, vinginevyo tutakabiliana na hasira za Mungu mwenyewe.
Mzee Makamba alisema wema hawafi.
 
Nonsense!! Mungu wa kweli anawapenda sana waovu na huwapa miaka mingi ya kuishi akiamini kuwa watatubu.

Na kama wewe ni mkristo kumbuka nukuu ya yesu aliposema hakuja dunia kwaajili ya kuwatafuta wema kama wewe Bali kuwakomboa waovu kama Mimi na huyo jamaa aliyefariki.

Acha kujihesabia haki kwa kuona kosa moja tu la mwenzako!!!
 
View attachment 2441785Huyo jamaa pichani ☝🏾 wakati mashindano ya kombe la dunia yanaenda kuanza alionekana akilalamika kuzuiliwa kuingia nchini humo kisa alivaa hiyo tshirt yenye rangi za upinde wa mvua ambazo zimekasimishwa kuunga mkono mtendo ya kuvuragana kati ya binadamu wa jinsia moja.

Grant Wahl aliyekuwa na miaka 48, ni mwandishi wa habari maarufu za kandanda nchini Marekani alianguka ghafla na kufariki alipokuwa akitazama mchezo wa Argentina na Uholanzi siku ya ijumaa usiku.

View attachment 2441793
Taarifa za mwanzo zinaonyesha alipatwa na mshtuko wa moyo, lakini hili bado haijathibitishwa rasmi na wataalam wa kitabibu.

NB: Pamoja na taarifa rasmi za kitabibu kutothibitisha binafsi najua huyo jamaa kapumzishwa not otherwise.
Akufwe akufwe akufwe kabisaaaa.
Nachanga lita tano ya ⛽ petroli ya kumchomea huko mahali pema aendapo
 
Nonsense!! Mungu wa kweli anawapenda sana waovu na huwapa miaka mingi ya kuishi akiamini kuwa watatubu.

Na kama wewe ni mkristo kumbuka nukuu ya yesu aliposema hakuja dunia kwaajili ya kuwatafuta wema kama wewe Bali kuwakomboa waovu kama Mimi na huyo jamaa aliyefariki.

Acha kujihesabia haki kwa kuona kosa moja tu la mwenzako!!!
Mungu wa kweli haamini Mzee. Ni mjuvi wa yote.
 
ndio yale tunayasema kila siku ukiwa na matendo yasiyo mpendeza Mungu basi mungu atakushughulikia kwa njia zake, either magonjwa au mauti.

mifano ya hasira za mungu ipo mingi tu, kwa mfano; watu wa sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa kuwashushia garika.

Binaadamu badilikeni, vinginevyo tutakabiliana na hasira za Mungu mwenyewe.
Taja hapa watu wema ambao wanafanya ya kumpendeza Mungu na hawafi
 
View attachment 2441785Huyo jamaa pichani ☝🏾 wakati mashindano ya kombe la dunia yanaenda kuanza alionekana akilalamika kuzuiliwa kuingia nchini humo kisa alivaa hiyo tshirt yenye rangi za upinde wa mvua ambazo zimekasimishwa kuunga mkono mtendo ya kuvuragana kati ya binadamu wa jinsia moja.

Grant Wahl aliyekuwa na miaka 48, ni mwandishi wa habari maarufu za kandanda nchini Marekani alianguka ghafla na kufariki alipokuwa akitazama mchezo wa Argentina na Uholanzi siku ya ijumaa usiku.

View attachment 2441793
Taarifa za mwanzo zinaonyesha alipatwa na mshtuko wa moyo, lakini hili bado haijathibitishwa rasmi na wataalam wa kitabibu.

NB: Pamoja na taarifa rasmi za kitabibu kutothibitisha binafsi najua huyo jamaa kapumzishwa not otherwise.
Huyo ngoma ndo imemuondoa ikiambatana na kansa yamkundu. Hamna hujuma yoyote kwenye kifo chake
 
Sitetei matendo maouvu lakini naomba kuuliza,Kwa hiyo nyinyi wenye matendo mazuri hamtokufa? Mbona binadamu tumekuwa na kiburi kiasi cha kuhukumu wengine kisa umauti umewakuta? Vipi wale watoto wadogo wanaokufa wakiwa hata hawajafikisha miaka mitano nao ni Mungu huwa anawashughulikia kwa kuwapa umauti?
Kafa kiaibu lakini mkuu.
 
Back
Top Bottom