econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
View attachment 2441785Huyo jamaa pichani ☝🏾 wakati mashindano ya kombe la dunia yanaenda kuanza alionekana akilalamika kuzuiliwa kuingia nchini humo kisa alivaa hiyo tshirt yenye rangi za upinde wa mvua ambazo zimekasimishwa kuunga mkono mtendo ya kuvuragana kati ya binadamu wa jinsia moja.
Grant Wahl aliyekuwa na miaka 48, ni mwandishi wa habari maarufu za kandanda nchini Marekani alianguka ghafla na kufariki alipokuwa akitazama mchezo wa Argentina na Uholanzi siku ya ijumaa usiku.
View attachment 2441793
Taarifa za mwanzo zinaonyesha alipatwa na mshtuko wa moyo, lakini hili bado haijathibitishwa rasmi na wataalam wa kitabibu.
NB: Pamoja na taarifa rasmi za kitabibu kutothibitisha binafsi najua huyo jamaa kapumzishwa not otherwise.
Watu wengine wachokozi Sana. Unaingia nchi ya watu na maupinde yako wakati wamekuambia hawataki. Ngoja akajibu vizuri akiwa peke yake.