Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ukiona mtu anapiga mayowe sana kwa jambo flan ujue yeye ndiyo muhusika zaidi.Hawa wa kibongo mbona mnashindwa kuwaondoa? Maneno yenu na vitendo vyenu ni zero kabisa. Ndio maana huwa naona kama nyie ndo wadau/wateja wakubwa wa hao watu.