Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

Daaaahh. Inasikitisha sana.
Kufanya maamuzi kihisia zaidi, unataka tu kurudi nyumbani, unasahau mazingira huko nyumbani yakoje? Umejiandaaje?
 
Kwahiyo upilot ni udereva tu anyone can be? Ha ha ha

Anyway, hata mimi nimeshangaa msomi kama huyo ameshindwaje kucalculate risks za kurudi Africa hadi akapotea mazima kiasi hiki?
Yeah, na mimi naona kosa kubwa la jamaa lilikua ni miscalculation of risks, kiasi kwamba hakua na mpango wowote wa ku mitigate hizo risks.
 
Poleni sana mkuu. Vifo na matatizo mengi ya wanaume, kwa nyuma kuna mgongo wa mwanamke.

Pia nakubaliana na wewe kwamba yamkini jamaa alitaka aonekane mwamba kwamba ni rubani na amekaa hadi Marekani.

Alivyorudi alikosea sana kuanzisha familia nyingine.
 
Wakenya wanarudi sana makwao, lakini wamejitengeneza kwelikweli, na hapo wengi waliotoboa hawakuingia mkenge wa kuoa mzungu...wakenya wana shobo na wazungu jamani mwee!
 
Sipajui huko Kenya ila siafiki hata kidogo hiyo kazi aliyochagua...ina maana alikosa hata hela ya belo la mitumba?au auze hata maji na visungura kweli?
 
Kwahiyo upilot ni udereva tu anyone can be? Ha ha ha

Anyway, hata mimi nimeshangaa msomi kama huyo ameshindwaje kucalculate risks za kurudi Africa hadi akapotea mazima kiasi hiki?
Naomba urudie kusoma uzi rafiki,huyu hakuwa msomi huyu ni rubani..."Fikiria kaweka gari bond ili alipie masomo ina maana alikuwa hajui hiyo coz inahitaji sh ngapi?...ni sawa leo wewe utake kusoma MBA uambiwe course yote ni 10M halafu wewe ukaweke bond gari uchukue 5M nini kitatokea?lazima kikurambe......Au walimroga jamani?
 
Na huo ndo ukweli, alitaka show off kwa wakenya kikamrambaa🤣🤣...muafrika ni mchawi hata akikuangalia tu jicho baya, hufanikiwi ng'ooo
 
Kabla sijasoma habari, ngoja tuwaite wale waabudu pesa watusomee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…