Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

Huyu kuna kitu hakijasemwa. Marubani wengi ninkawaida ukikaa muda fulani au ukibadili aina ya ndege kuna kozi fupi unaenda. Hizi kozi fupi mashirika mengi ya ndege huwa yanawalipia. Kuna kitu hakisemwi hapa.
Nakubaliana nawe, huwezi kupokelewa moja kwa moja kabla shirika la ndege unaloomba ajira halijawa na imani nawe katika ndege zao. Kuna uwezekano alifeli kwenye course au kuna lolote lililompelekea akashindwa kuqualify
 
Kenya ni pagumu sana kama haujanyooka , ila sisi tuliowahi fanya biashara huko tunajua Urahisi wake Monetary doctor
Naam kenya ni pagumu ila ukielewa mahitaji ya kule unaenda nao vzr sana mfn kule ukauze chips utasota sana wanataka ugali ama githeri na matumbo,, kwenye kilimo sisi tunalimaga mahindi kwa ajili ya kuuza mabichi na wakenya ndo tunawaauzia,
 
hakuwahi kufikiria kwamba maisha yake yangeishia kuokota makopo.
Hayajaishia kwenye kuokota makopo bado,tumpe muda anaweza kutoboa
Kwa jitihada na maombi,
Arudi hapa kwenye njia ya maombi ndipo alipoanzia kufanikiwa
Lakini Samuel aliona kubaki Marekani ni usaliti kwa jamii yake na kanisa lililomsomesha.
Serikali zetu hazithamini kitu kinachoitwa uzalendo alichemka sana, Kuna yule binti wa Mzee Kimiti anaongoza Mamalaka ya Mapato Uingereza huko alitaka kurudi hapa akamwambiwa atapelekwa Kigoma etiπŸ˜€,

Katika umri wa uzee, mwili kudhoofu na maisha ya upweke, bado Samuel analo tumaini.
Hakika aendelee kuwa na Tumaini
 
SUBIRI KESHO YAKO MAANA HUIJUI KAMWE
 
πŸ’―

Watu wengi hawajui madhara ya mifumo mibovu.

Na wengine wanajua madhara ya mifumo mibovu ila sababu inawapa faida hawako tayari kuizungumzia.

Kwa nchi zenye mifumo imara adui mkubwa ni afya ya akili, hata ukipoteza kila kitu so long as una sound mind, resilient ni suala la muda tu.
 
Naam kenya ni pagumu ila ukielewa mahitaji ya kule unaenda nao vzr sana mfn kule ukauze chips utasota sana wanataka ugali ama githeri na matumbo,, kwenye kilimo sisi tunalimaga mahindi kwa ajili ya kuuza mabichi na wakenya ndo tunawaauzia,
Yeah kenya ukiwaelewa una piga pesa kirahisi sana , ukifika Nairobi watu wa nyumbani kama wako kwao na wanafanya makubwa
 
Hivi biashara za bidhaa za mage,,,, Tk mpaka sasa zinatamba mkuu?
 
zipo mkuu, kama mahindi mabati na mafuta ya taa ni chapu tuu....
Dah nimekumbuka mbali πŸ˜… hii kitu imenifanya nimekua na maraki kibao kipande cha huko , nasikia miru,,, ni dili la pesa ndefu hicho kipande
 
Yeah kenya ukiwaelewa una piga pesa kirahisi sana , ukifika Nairobi watu wa nyumbani kama wako kwao na wanafanya makubwa
Ewaaah hata code za uvaaji inabidi uende na wanavyotaka mfn kule jinzi, makoti yake ni bull bull sasa wewe fika kule kalete creativity ya vitenge uone πŸ˜‚

Na ni watu poa wakijua umetoka chini ya mlima wanasema ndugu zenu kutoka nyeri hapo....

Ila hiyo TK ulivyoandka ni una uzoefu aseeh na huko
 
Nawajua wakenya watatu mmoja kaowa mganda mmoja Mkenya mwenziwe na mwengine mwanamke kaolewa na mnaigeria. Kitu nilichojifunza kwa hao watatu wanaachlia income yao yote kwa wenza wao sijui wamejisahau vipi. Wakenya wa abroad niliowaona wengi wao wanapenda waafrika wenzao sio kama watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…