Kweli aisee aligeuza nyumba ya bwana kuwa jukwaa lake la siasa . Alilipanda kanisa kichwaniHuyu alipata laana siku ile alivowambia masista wamevaa barakoa na kuwananga ,inaelekea walimsalia Novena.Huwezi kwenda kanisani alaf ukawasengenya watumish wa Mungu ni laana
Mniombee
Hii issue imeonyesha Tanzania hatuna media kabisa. Nchi nyingine kwa kutumia viashiria mbali mbali wangeweza kujua kinachoendelea. Unaweza kuweka waandishi fukunyuzi (wakajjicha kijasusi) area muhimu kama maeneo ya Ikulu. Hospitali ya Kitengo na sehemu nyingine na ukaja na jibu. BTW kila mtu ana theory yake. Kuna anayesema ameambiwa na waziri kuwa jamaa amefunga kwaresma na amejifungia, kuna anayesema anachapa kazi, kuna anayesema kafa, kuna anayesema ni mgonjwa. Kila mtu na lake. Jambo lililo dhahiri ni kuwa hata mawaziri wengi hawajui kinachoendelea. Inaonekana inner circle ya Magufuli ndiyo inajua na ni wachache sana na wengi ni watu wa usalama kutoka ukanda wake.Time will tell. Leo kanisani hawezi kuwepo ila jamaa anapumua.
Mwamba yawezekana hajaumia hata ukucha, anawacheki tu na kusema hiiiiiiii πHii issue imeonyesha Tanzania hatuna media kabisa. Nchi nyingine kwa kutumia viashiria mbali mbali wangeweza kujua kinachoendelea. Unaweza kuweka waandishi fukunyuzi (wakajjicha kijasusi) area muhimu kama maeneo ya Ikulu. Hospitali ya Kitengo na sehemu nyingine na ukaja na jibu. BTW kila mtu ana theory yake. Kuna anayesema ameambiwa na waziri kuwa jamaa amefunga kwaresma na amejifungia, kuna anayesema anachapa kazi, kuna anayesema kafa, kuna anayesema ni mgonjwa. Kila mtu na lake. Jambo lililo dhahiri ni kuwa hata mawaziri wengi hawajui kinachoendelea. Inaonekana inner circle ya Magufuli ndiyo inajua na ni wachache sana na wengi ni watu wa usalama kutoka ukanda wake.
Kabisa,tusubirie..Hii issue imeonyesha Tanzania hatuna media kabisa. Nchi nyingine kwa kutumia viashiria mbali mbali wangeweza kujua kinachoendelea. Unaweza kuweka waandishi fukunyuzi (wakajjicha kijasusi) area muhimu kama maeneo ya Ikulu. Hospitali ya Kitengo na sehemu nyingine na ukaja na jibu. BTW kila mtu ana theory yake. Kuna anayesema ameambiwa na waziri kuwa jamaa amefunga kwaresma na amejifungia, kuna anayesema anachapa kazi, kuna anayesema kafa, kuna anayesema ni mgonjwa. Kila mtu na lake. Jambo lililo dhahiri ni kuwa hata mawaziri wengi hawajui kinachoendelea. Inaonekana inner circle ya Magufuli ndiyo inajua na ni wachache sana na wengi ni watu wa usalama kutoka ukanda wake.
Tunatishana Sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa mkuu wachache sana tutakuelewa
Hahah mavi wewe. Hujatoa sababu kwanini waiondoe.Mods ondoa hii Tafadhali!
Nawaangalia Halafu Nasema Hii BhaghoshaMwamba yawezekana hajaumia hata ukucha, anawacheki tu na kusema hiiiiiiii π
Everyday is Saturday................................π
πHahah mavi wewe. Hujatoa sababu kwanini waiondoe.
Ni kweli. Inawezekana anapenda kuwa-suprise watu kwa njia kama hizi. Nakumbuka hata kile kisanga cha watu kusema kafa 2019, alipojitokeza Ikulu na kutembeza bakuli la vitafunwa kwa wageni, alikuwa anafurahia sana ile hali. Alikuwa anapita kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, kwa unyenyekevu na alinyeonyesha ku-enjoy kwa kila hali.Mwamba yawezekana hajaumia hata ukucha, anawacheki tu na kusema hiiiiiiii π
Everyday is Saturday................................π
Na tumezoleka kwerikweri...... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Umejua kutuzoa kweli
Kanisa leo linaazimisha Dominika ya 4 tangu kuanza Kwaresma ambapo kimsingi siku hii huaminika ni kama siku ya furaha huku tufukia mwishoni mwisho mwa safari ya siku 40 za maombolezo ya kifo cha Bwana wetu Yesu Kristu.
Waumini ni wengi sana na ibada inaendelea.
Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam, mwenye picha ,au kufahamu kinachoendelea huko atupatie tafadhali. TBC wako huko ?