Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

Anapenda attention na mbwembwe[emoji23]..

Kuna mdau twitter anadai kwamba anataka kujitokeza ile sikukuu ya pasaka ili aonekane amefufuka kama Yesu[emoji23][emoji23]
 
Mkuu..huyu chukizo la wananchi hajafika hapo??
 
Acha masihala siku hizi kanisani wanachati JF, ngoja niendelee kuskiliza TBC watuletee hotuba ya moja kwa moja ya mpendwa wetu
 
Hebu tuacheni utoto, binadamu ni binadamu. Wote tunaishi kwa uzima na magonjwa, kuwaita baadhi ya binadamu "Vyuma" ni kukufuru.
utoto gani tena kwani mbaka akajitangaza kuwa anaweza kua kiongozi wa malaika tulimtuma sisi?


Usipanic kiongozi wa malaika ni immortal hua hakufi hata akichomwa nchale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…