Huyu takataka ameandika nini zaidi ya pumba?Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu
Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Ndio tena kwenye mwanga mweupe.Mama wa Uchumi ni mama wa Taifa Samia.wachawi tunawaona live
Ccm? [emoji2961][emoji2961]Taifa letu linapaa kimaendeleo na kuwa mfano wa kuigwa Barani Afrika. Ni kazi ya serikali ya CCM Ambayo imeifanya Tanzania kupata mafanikio katika kila eneo.
Si akina mwigulu wanasema mama ni zaidi ya watanhuluzi wake ,kiko wapi sasaKabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati.
Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani
Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila soni wala aibu
Lucas mwashambwa ChoiceVariable johnthebaptist Mshana Jr
Sisi takataka tunaendelea kuhojiHuyu takataka ameandika nini zaidi ya pumba?
Mama wa Uchumi ni Samia hao wengine ni wazee wa propaganda
Achana na hizo tweets za kichawa; kwa dhati ya moyo wako, huko kwenu umeme haukati?Huyu takataka ameandika nini zaidi ya pumba?
Mama wa Uchumi ni Samia hao wengine ni wazee wa propaganda.
View: https://twitter.com/FMzaramu/status/1714245296140472798?t=vcM2Et6bQykjlkBJme8pOw&s=19
Lini Tanzania hii umeme ukiacha kukatika au haukuwahi kukatika? Harafu usikariri kwamba Kila Mkoa umeme unakatika.Achana na hizo tweets za kichawa; kwa dhati ya moyo wako, huko kwenu umeme haukati?
πππππHuyu takataka ameandika nini zaidi ya pumba?
Mama wa Uchumi ni Samia hao wengine ni wazee wa propaganda.
View: https://twitter.com/FMzaramu/status/1714245296140472798?t=vcM2Et6bQykjlkBJme8pOw&s=19