Fursa gani unazozizungumzia wewe chawa? Fursa ambazo hazionekani, kazi kutuwekea link tu hapa. Fursa zinaonekana. Tutajie hizo fursa hapa
Tizama fursa hizi za Magufuli ambazo huitaji hata kutumia porojo;
1. Daraja la Magufuli Mwanza
2. Magufuli bus terminal
3. Serikali kuamia Dodoma
4. Barabara za lami
5. Meli kubwa ziwa Victoria "MV MWANZA"
6. Mwendokasi project
7. Kufufua viwanda
8. Bwawa la kufua umeme JNHEP
Kwa kifupi vitu vinaonekana na ni vingi, na kavifanya kwa miaka 5 tu, sasa huyu Bibi Tozo wenu huku mtaani tunaona shida tu. Kodi kibao, Vitu bei, Mgao wa umeme, ufisadi watu wanapiga pesa tu, Takukuru hawasikiki kabisa, misafara ya rundo la viongozi kwenda India, Petrol bei.