ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hujui kitu zaidi ya porojo za machadomoChina gani hiyo ambayo ukame ulitokea ukasababisha mgao wa umeme?
Au China ya mitaa yenu... Kenya penyewe hawana shida ya umeme, alafu unalinganisha China na Tanzania... Yani china kuwe na shida ya mgao wa umeme... Mwaka juzi gani, weka link hapa ya kuonesha China kulikuwa na mgao mwaka juzi? China ukikatika umeme hata nusu saa ni hasara kwa taifa